Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
ok.Biblia na hata Qoran vinasema mamlaka yote chini ya ardhi yanatoka kwa Mungu. Binadamu tuyatumie vema. Msingi wa yote ni ukweli. Ukweli ni upanga ukatao pande zote mbili. Ukweli haufichi maovu.
Mtu anaweza fanya maovu akifikiri ukweli haumwoni. Sasa mtu huyo akiambiwa aje hadharahi ajitakase kwa kusema ukweli, anakimbia. Viongozi wetu vyombo vya ulinzi na usalama wamejionyesha hadharani kuwa wanataka maovu yao yasijulikane hasharani.
Ukweli unawadai, na wajue kuwa ukweli huo ni Mungu mwenyewe. Wanadsiwa ukweli na Mungu.
Mkuu kwa mara ya kwanza hujatoa maoni!
Ni kweli mkuu, lakini ukweli haufutiki kwa kuukimbia.Hivi mkuu hata ungelikuwa wewe kwa ujinga uliofanyika mo29 ukiwa kama mkuu wa vyombo vya ulinzi na usalama ungekubali kwenda mahakamani kuhojiwa na Lissu jamani bora wafute kesi wakikubali kuna mmoja anaenda kufa kwa kisukari au pressure
kwamba nitoe maoni kwenye porojo, right?Mkuu kwa mara ya kwanza hujatoa maoni!
Ukweli haujawahi kuwa porojo, ukiubeza utaumbuka.kwamba nitoe maoni kwenye porojo, right?
ok.Ukweli haijawahi kuwa porojo, ukiubeza utaumbuka.
Ukweli haijifichi
Ukweli haufutiki
Ukweli unajitokeza hasa pala usipotarajia na unaumbuka.
Ukweli heri uutoe mwenyewe kwa mdomo wako, na ulimwengu ukupime.
Ukweli, ni kweli kabisa, ni upanga mkali.Biblia na hata Qoran vinasema mamlaka yote chini ya ardhi yanatoka kwa Mungu.
Binadamu tuyatumie vema.
Msingi wa yote ni ukweli.
Ukweli ni upanga ukatao pande zote mbili.
Ukweli haufichi maovu.
Mtu anaweza fanya maovu akifikiri ukweli haumwoni.
Sasa mtu huyo akiambiwa aje hadharahi ajitakase kwa kusema ukweli, anakimbia.
Viongozi wetu vyombo vya ulinzi na usalama wamejionyesha hadharani kuwa wanataka maovu yao yasijulikane hasharani.
Ukweli unawadai, na wajue kuwa ukweli huo ni Mungu mwenyewe.
Wanadaiwa ukweli na Mungu.
NONE TO BE WORSHIPPED EXCEPT JESUS CHRIST AND PAUL IS HIS MESSENGER.UKWELI ni mkali kupita upanga ukatao kuwili hata maandiko yanasema hivyo!
Mimi ndimi njia, na KWELI, na uzima. Ukweli ni directly related to Alpha na Omega! Kinyume chake UONGO ni mtoto wa Shetani kwani ndiye baba wa huo.
Tuone kama DCI atasema ukweli wote bila kuacha wasiwasi wowote.Ukweli, ni kweli kabisa, ni upanga mkali.
Wakuu hao WANAOGOPA kuji incriminate na matukio ya kuua , hasa Okt29.
Mtu anajijua alielekeza kuua, baada ya kuelekezwa na ngazi za juu!(hapo sasa....!)
Ukweli upanga wa moto ukatao kuwili!
MO29 huwa inamaanisha nini ?mo29
Mauaji ya October 29MO29 huwa inamaanisha nini ?
Ukweli, ukweli , ukweli unaumbua!Mauaji ya October 29