Ukweli ni upi : Alexander the Great akiwa INDIA

hahaaa sasa.. hapo Mkuu zitto si waona kabisa kuwa jamaa " wameongeza " chumvi Na matango pori"" ukweli nikwamba _ huyo Alex alipigwa mnooo ""..wazungu wengi " niwaongo " mnooo ". niwao ndio walioeneza"uongo " kuwa mababu zetu" walikuwa " wanaavaa majani" wakati Dr.Livingston "alipokuja Africa mashariki alikuta watu" wameendelea monopoly kiuchumi " kule "" KILWA
 
Haahahaha unanikumbusha uongo wao wa kuwa captain cook alivumbua papua new guinea na australia ila ushahidi mpya unaonyesha kulikuwepo na biashara kati ya wakazi wa papua new guinea (aborigines) na wafanyabiashara wa kutoka pande zote za dunia tokea karne ya 14 hata kabla huyo cook hajatia maguu huko miaka 400 baadae!!!

Siku zinavyozidi kwenda uongo wao unadhidi kudhihirika
 
umeona eeh " mkuu""!! jamaa wezi Sana watakwimu hao
 
Dah acha tu alafu mwisho wa siku hiyo historia ndio tunafundishwa madarasani huku Africa.... Kwa kweli tuna safari ndefu sana kujikomboa
 
aiseee " mtihani Sana " nasio kwenye " historia ya madarasani tu" mkuu nyabhingi anasem huyo Alexander ndiye mtu anayefahamika Kama dhur qarnain kwenye Quran ametajwa kwa jina hilo mbaya zaidi amepewa sifa ya ucha mungu",ukiachlia mbali mauaji yote hayo aliyokuwa anayafanya
 
Dah acha tu alafu mwisho wa siku hiyo historia ndio tunafundishwa madarasani huku Africa.... Kwa kweli tuna safari ndefu sana kujikomboa
Hivi huko ughaibuni wanafundishwa haya haya kweli...?

Labda vyuoni wakiwa wanasoma "kozi" zinazohusu maeneo mengine, kwa sababu na wao wako na historia zao, tena kubwa na pana tuu

Hii mitaala yetu hii na hivi vitabu vitumikavyo sijui nani aliviandaa? MKOLONI?
 
Mkuu zitto junior asante kwa kuniita kwenye huu uzi wako na mimi kama kawaida yangu nitachangia kwa msaada wa kitabu nikipendacho kuliko vyote "Biblia Takatifu". Alexander The Great alitabiriwa kwenye Biblia kwenye kitabu cha Danieli ingawa hakutajwa jina lake moja kwa moja lakini utawala wake kuanzia mwanzo wake mpaka kuanguka kwa ufalme wake vimeandikwa ndani ya kitabu hichi.

Nabii Danieli akiongozwa na MUNGU alitabiri kumuhusu Alexander The Great takribani miaka 250 kabla Alex hajawa Mfalme wa Macedonia ambayo ni Ugiriki. Danieli 8:5 inaelezea kuanza kwa utawala wa Alex na Danieli 8:8 inaelezea mwisho wa Alex yaani kifo chake. Sasa tunajua kuwa aliyekuwa akizungumziwa ni Alex hasa pale tunaposoma Danieli 8:22 ambapo anasema; "tena katika habari za pembe ile iliyovunjika ambayo badala yake zilisimama pembe nne, falme nne zitasimama kutoka katika taifa lile lakini si kwa nguvu kama zake(Alex)".

Ukiendelea kusoma kitabu cha Danieli 11:4 utaona anazielezea hizi falme nne ambazo zitagawanyika kutoka kwenye Ufalme wa Alexander. "Naye atakaposimama ufalme wake utavunjika na kugawanyika katika pepo nne za mbinguni, lakini hautakuwa wa uzao wake, wala hautakuwa kama mamlaka yake ambayo alitawala kwayo, kwa maana ufalme wake utang'olewa hata kwa ajili ya wengine zaidi ya hao"...... Na hakika hichi ndicho kilichofanyika hasa, maana baada ya Alexander kufa, Ufalme wake uligawanyika mara nne tena katika hizo falme nne hakukuwa na mrithi wa Alex wa damu.

Falme hizo nne ni Cassander, Lysimachus, Seleucus, na Ptolemy I. Falme zote hizi hakuna hata moja ambayo ni mrithi wa damu wa Alex. Hivyo utabiri wa Nabii Danieli ulitimia kama alivyotabiri na ndiyo maana mimi huwa nasema naipenda sana Biblia!

Tena kuna stori ambayo nilisoma nje ya Biblia inasema kuwa eti kisa Alexander hakuuharibu mji wa Jerusalem ni sababu alipofika Jerusalem alipokewa na Kuhani mkuu wa wakati ule ambaye alimpokea kwa heshima kubwa sana na kumpeleka moja kwa moja Hekaluni ambapo alimwonyesha Kitabu cha Danieli na kumsomea huo unabii na kumwambia kuwa unabii huo unamuhusu yeye Alexander. Kwa sababu Alex alikuwa anaijua lugha ya Kiebrania, alijosomea mwenyewe na akafurahi sana kuona Ufalme wake ulitabiriwa kwa uwezo wa MUNGU, hivyo akaona haitakuwa busara kuuharibu Jerusalem.

Kwa kuhitimisha hoja yako, mimi binafsi nakubali kuwa Wazungu wameipotosha historia ya Alexander ili wampatie sifa isiyomuhusu. Utabiri wa Danieli unasema wazi kabisa kuwa "pembe yake itavunjika", maana ya pembe kuvunjika ni kama Mfalme kufa kifo cha mapema na ufalme wake kuvunjika. Na hichi ndicho kilichotokea kwa Alex kwani alikufa akiwa na miaka 32 tu. Hivyo ni sahihi kabisa kuwa Alex alipoteza vita ya India na alipigwa vibaya sana na Mfalme Porus na kujeruhiwa na kupelekea mauti akiwa bado kijana.

NB
Utanisamehe mkuu kwa majibu marefu maana mimi huwa siandiki kwa kifupi.
 
Mkuu umetisha sana, nimekuelewa barabara , nimependa jinsi ulivyolink kati ya unabii wa kibiblia na hatma ya Alexander III, as always ubarikiwe mkuu huwa nakubali sana nondo zako
 
Jamaa hakupigwa huko India kama ulicheki movie inaonyesha alipigwa na kubebwa kwenye machela. Ukweli ni kuwa alipata ushindi huko India lakini kwa tabu sana na falme kubwa zenye nguvu zilikuwa mbele yake. kwanza farasi wanapigana vizuri sehemi zilizowazi sasa huko India kulikiwa na misitu minene, mvua nyingi na mito mingi. Pia kuna magonjwa ya kitropic, Pia farasi japo ni wanyama wasioogopa kitu lakino walipoziona Tembo walianza kufyata. wakawa wanagoma kucharge hadi imasemekana walikuwa wanawafunga vitambaa ili wacharge bila kuona.

Kwakweli jamaa asingeachana na Campaign ya kuteka India basi ndiyo ingekuwa kaburi lake. Aliacha sababu wanajeshi wake walishaona kuna mziki mkubwa na wakagoma kuendelea. lakini hakupigwa huko.
 
inasemekana alishinda kwa mbinde akaiteka India
Mpaka wazee wenye hekima zao wakamkalisha na kumwambia maneno
Haya nanunukuu
Eee mfalme Alexander wazurura mbali na
Nyumbani kwako ukihangaika usiku na
Mchana yote haya ukitaka kuitawala dunia kumbuka ipo siku utakufa na utamilimiki kipande tu kidogo cha dunia kinachotosha maziko yako mwisho wa kunukuu
 
Jamaa hakupigwa huko India kama ulicheki movie inaonyesha alipigwa na kubebwa kwenye machela. Ukweli ni kuwa alipata ushindi huko India lakini kwa tabu sana na falme kubwa zenye nguvu zilikuwa mbele yake. kwanza farasi wanapigana vizuri sehemi zilizowazi sasa huko India kulikiwa na misitu minene, mvua nyingi na mito mingi. Pia kuna magonjwa ya kitropic, Pia farasi japo ni wanyama wasioogopa kitu lakino walipoziona Tembo walianza kufyata. wakawa wanagoma kucharge hadi imasemekana walikuwa wanawafunga vitambaa ili wacharge bila kuona.

Kwakweli jamaa asingeachana na Campaign ya kuteka India basi ndiyo ingekuwa kaburi lake. Aliacha sababu wanajeshi wake walishaona kuna mziki mkubwa na wakagoma kuendelea. lakini hakupigwa huko.
Nimekusoma mkuu ila cha kujiuliza je ni kwanni aliposhinda hakuchukua huo mji wala hakumuua huyo mfalme?? Yaani kwanni ashinde vita alafu ageuze bila kuweka mtawala wake kwenye ufalme ule?? Hilo swali linanitatiza zaidi yaani kwanni ashinde alafu ufalme bado ulibakia kwa Porus

Pia kama unakubali aliogopa kusonga mbele je kwanini anaitwa THE GREAT alafu wanadai hakuwahi kupigwa maishani mwake ilihali aliogopa wahindi na wachina??? Kipi hasa kinamfanya great kwa muktadha huu
 
Ungekaa kimya tu,watu wakiongelea mambo ya msingi ya kihistoria usiwe unaleta movie zako za hollywood
 
Nia na lengo la Alexandre the Great ilikuwa kutawala dunia. Falme alizoziteka aliingiza utamaduni wa Kigiriki akichanganya na wa nchi husika.
Yeye ndiye sababu ya kuwa na mji wa Alexandria nchini Misri na alioa watoto wa wafalme aliowateka. Malkia na watoto wake waliendeleza utawala wake.
 
Nimekusoma mkuu ila cha kujiuliza je ni kwanni aliposhinda hakuchukua huo mji wala hakumuua huyo mfalme?? Yaani kwanni ashinde vita alafu ageuze bila kuweka mtawala wake kwenye ufalme ule?? Hilo swali linanitatiza zaidi yaani kwanni ashinde alafu ufalme bado ulibakia kwa Porus

Pia kama unakubali aliogopa kusonga mbele je kwanini anaitwa THE GREAT alafu wanadai hakuwahi kupigwa maishani mwake ilihali aliogopa wahindi na wachina??? Kipi hasa kinamfanya great kwa muktadha huu
India ni mbali sana toka Macedonia. ilikuwa bora kumuweka kibaraka na kukusanya kodi kuliko kuitawala directly.
 
Back
Top Bottom