Na niliposema kuwa "siyo sahihi", nililenga maneno hayo hayo niliyoyanyanyua hapo; halafu wewe ukakomaa na hayo mengine..Alipinduliwa na Idd Amin Daddah January 25, 1971 akiwa kwenye mkutano wa Commonwealth kule Singapore, nakiri kukosea kusema OAU lakini mengine yote yako sahihi.
kuna taarifa zinasema kenya walikua na ugomvi nae kwan alikua halipi madeni ya mizigo inaopita bandariniNawakumbuka wote. Umetaka kujua chanzo. Zaidi ya sisi kuwa tunamchokoza Amin ili kupata kisingizio cha kumchapa na kumpindua, hapakuwa na chanzo kingine. Maana, kama Amin angekuw akama ilivyodaiwa kuwa aliivamia Kagera, basi angeivamia Kenya aliyokuwa akiipa umeme kwanza.
Wewe ni nguruwe tu unayerukia kuuliza maswali yasiyohusika na kilicho andikwa.chanzo kikuu ni kipi?
ebu tupe kastory kidogo chanzo ni nn na ilikuaje mpaka ikawa vita kamiliKenya alishatishia kuchukuwa eneo lote la mpakani toka Kaskazini hadi Kusini ikiwemo na Kisumu; lakini Kenyatta alikwishajihami kwa uwepo wa jeshi la Uingereza Kenya.
Hilo swala la sisi kumchokoza ili avamie mpakani tupate fursa ya kumpiga halileti mantiki yoyote.
Angekataa kuvamia je?
Pamoja na kwamba Tanzania haikutaka kushirikiana naye; lakini swala la kumchokoza, na kupanga kabisa kuwa atavamia mpaka ndipo tuingie vitani siyo sahihi.
You're already on borrowed time!🤣 tuongezee bana mda wa kukaa madarakan acha uchoyo
we achana na mambo ya samia, tupe hio story ilikuaje mpaka ikawa vita kamiliWewe ni nguruwe tu unayerukia kuuliza maswali yasiyohusika na kilicho andikwa.
Hata hivyo, hii mada inakusaidia kitu gani wewe na Samia mfugaji wako wakati huu?
Jambo pekee muhimu wakati huu ni Samia Suluhu Hassan na nguruwe wake; kama wewe wanaohatarisha uhai wa taifa letuebu tupe kastory kidogo chanzo ni nn na ilikuaje mpaka ikawa vita kamili
Sikuwahi kujuwa kuwa nguruwe nao huwa wanaota; sasa hili nalo nadhani linaweza kuwa swala la kufanyia utafiti juu yake. Nitawatafuta wataalam Sokoine nisikie wanalielezaje jambo hili la nguruwe kuota ndoto.mpaka 2030
pole lakini tulikwambia ccm sio chama kama kile chenu hamkuskia, we kwa saaahv kaa benchi mpaka 2030 na 2030 mule mule kwa kifupi ccm ndo tanzaniaJambo pekee muhimu wakati huu ni Samia Suluhu Hassan na nguruwe wake; kama wewe wanaohatarisha uhai wa taifa letu
ielezee mkuu tunatamani kuijua zaidiNyerere alimshawishi rafiki yake Obote waende kwenye mkutano wa jumuiya ya madola ilikuwa ikifanyika nchini Singapore mwezi Januari 1971.
Obote hakutaka kwenda kwenye huo mkutano kwa hali mbovu ya kiusalama iliyokuwepo nchini Uganda wakati huo, lakini baada ya Nyerere kumshawishi sana waende ndipo Obote alikubali kwenda kishingo upande.
Obote akiwa kwenye mkutano ndipo alipopewa taarifa ya siri kwamba serikali yake imepinduliwa na ndipo akaelekeza lawama kwa Nyerere.
Ndipo Nyerere alipoondoka naye Singapore hadi Dar na kumuhifadhi kwenye nyumba iliyokuwa ya Kambona jirani na ya kwake pale Msasani.
Nyerere alimsihi rafiki yake Obote atulie atalipa deni lake hilo na ndicho Nyerere alichokuja kufanya miaka minane baadae.
Stori ni ndefu sana lakini nimejaribu tu kufupisha kwani nina usingizi sana kwa sasa.
kuna taarifa kwamba kulikua na mwanajeshi alivuka mpaka kuingia bongo na kushusha risasi za kutoshaNyerere alimshawishi rafiki yake Obote waende kwenye mkutano wa jumuiya ya madola ilikuwa ikifanyika nchini Singapore mwezi Januari 1971.
Obote hakutaka kwenda kwenye huo mkutano kwa hali mbovu ya kiusalama iliyokuwepo nchini Uganda wakati huo, lakini baada ya Nyerere kumshawishi sana waende ndipo Obote alikubali kwenda kishingo upande.
Obote akiwa kwenye mkutano ndipo alipopewa taarifa ya siri kwamba serikali yake imepinduliwa na ndipo akaelekeza lawama kwa Nyerere.
Ndipo Nyerere alipoondoka naye Singapore hadi Dar na kumuhifadhi kwenye nyumba iliyokuwa ya Kambona jirani na ya kwake pale Msasani.
Nyerere alimsihi rafiki yake Obote atulie atalipa deni lake hilo na ndicho Nyerere alichokuja kufanya miaka minane baadae.
Stori ni ndefu sana lakini nimejaribu tu kufupisha kwani nina usingizi sana kwa sasa.
Hizo zilikuwa ni porojo tu za Tanzania kwani wanajeshi wengi wa Obote walitorokea Tanzania na kuhifadhiwa Tabora na ndio mara kwa mara walikuwa wakienda na kufanya mashambulizi ya kushtukiza nchini Uganda na kukimbilia tena Tanzania huku Amin akilalamika mara kwa mara.kuna taarifa kwamba kulikua na mwanajeshi alivuka mpaka kuingia bongo na kushusha risasi za kutosha
CCM haipo; ilikwishaparaganyika toka enzi za Kikwete, na Magufuli kapigilia msumari, ambao kaumalizia Samia Suluhu Hassan.pole lakini tulikwambia ccm sio chama kama kile chenu hamkuskia, we kwa saaahv kaa benchi mpaka 2030 na 2030 mule mule kwa kifupi ccm ndo tanzania
Haitakusaidia kitu nguruwe wewe.🤣 🤣 kaza sauti
kwahio taarifa halisi ni watu wa obote walikua wanafanya mashambulizi mara kwa maraHizo zilikuwa ni porojo tu za Tanzania kwani wanajeshi wengi wa Obote walitorokea Tanzania na kuhifadhiwa Tabora na ndio mara kwa mara walikuwa wakienda na kufanya mashambulizi ya kushtukiza nchini Uganda na kukimbilia tena Tanzania huku Amin akilalamika mara kwa mara.