cry moreCCM haipo; ilikwishaparaganyika toka enzi za Kikwete, na Magufuli kapigilia msumari, ambao kaumalizia Samia Suluhu Hassan.
Tanzania inazaliwa upya kabisa; pamoja na unguruwe wako, fungua macho usikose kuona dude hili Tanzania Mpya inayokuja kuchanua kama ua la thamani kubwa katika ukanda huu wa dunia.
Hizo zinahusiana vipi na risasi alizowashushia waTanzania Samia Suluhu Hassan; au kwa vile na yeye yale yaliyompata Nduli yanamwelekea yeye sasa hivi?kuna taarifa kwamba kulikua na mwanajeshi alivuka mpaka kuingia bongo na kushusha risasi za kutosha
The only person crying inconsolably at this time is Samia Suluhu Hassancry more
wale si wajinga wanaambiwa wakafanye vurugu na watu ambao wako online, ni kama wewe tu kelele nyingi kutoka hueziHizo zinahusiana vipi na risasi alizowashushia waTanzania Samia Suluhu Hassan; au kwa vile na yeye yale yaliyompata Nduli yanamwelekea yeye sasa hivi?
Nitatoka siku ambayo Samia hatakuwa na nguruwe kama wewe wanaokuja hapa JF kuweka takataka.wale si wajinga wanaambiwa wakafanye vurugu na watu ambao wako online, ni kama wewe tu kelele nyingi kutoka huezi
Uko sahihi kwenye hilo, ingawa nakumbuka Obotte aliondoka kuhudhuria mikutano ya kimataifa nje ya Uganda.Na niliposema kuwa "siyo sahihi", nililenga maneno hayo hayo niliyoyanyanyua hapo; halafu wewe ukakomaa na hayo mengine..
Siku utakapokosa makombo toka mezani kwa Samia ndipo utajuwa kuwa waTanzania hawana mchezo na wafuga nguruwe kama Samia.itakua ndo raisi wa kwanza analia katika kiti cha uraisi, we kalie ukimaliza subiria 2100
Hakutakuwepo tena na zamu ya nguruwe kama wewe.wajinga wakihitajika utaitwa
Siju unachosema wala kumaanishakwann unasema kituko alikua raisi kabla ya kupinduliwa
Nenda kule jukwaa la historia, kuna uzi wangu yamezungumzwa mengi utapata kitu. Pitia hapa Vita vya Kagera 1979: Kwanini Jeshi letu lilipitia mipaka ya Sudan badala ya kukatiza hapo kati kufika Kampala?Kutoka makala yenye episode ya arusha one radio, chanzo cha vita ni mwanajeshi wa uganda kufungwa tanzania, however katika makala za encyclopedia kuna taarifa kwamba, Nyerere alifadhili mapinduzi ya obote kurejea madarakni ambayo yalishindwa hivo amin akaamua kulipua kagera ikiwemo kiwanda cha kagera sugar
View: https://youtu.be/p_BWfsPgdSE?list=PLwboNetLZ6ALb0ybLBBq9Ex8_CtPh50vC
Kama ni taarifa ingine iweke
Ndio maana yake.kwahio taarifa halisi ni watu wa obote walikua wanafanya mashambulizi mara kwa mara
shukrani sana kwa maelezo mazuri mkuuNdio maana yake.
Itakumbukwa kwamba kwenye maadhimisho ya miaka 10 ya uhuru wa Tanganyika mwaka 1971 ambapo Nyerere aliwaalika baadhi ya marais kama Kaunda wa Zambia, Kenyatta wa Kenya aliyemtuma makamu wake Daniel arap Moi lakini kwenye kiti cha rais wa Uganda Nyerere akamuweka Obote kiuchokozi tu kwani asingeweza kumwalika adui yake Amin.
Hali hiyo ilimuudhi sana Amin ambaye wiki chache tu baadae alituma ndege ya kivita na kupiga mabomu jijini Mwanza lakini uhasama haukuishia hapo na mwaka 1975 mkutano wa OAU uliandaliwa nchini Uganda na Amin kuwa mwenyekiti wa OAU lkn Tanzania ilisusia mkutano huo.
Mwezi wa nane mwaka 1978 miezi miwili tu kabla ya vita vya Kagera kuanza Nyerere na Amin walikutana jijini Nairobi kwenye msiba wa rais Jomo Kenyatta wa Kenya na pamoja na kwamba walilazimishwa kukaa majirani hawakuweza hata kupeana mikono wala kuongea hata neno kwa muda wote walipokuwa hapo msibani...!!!