Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,239
- 29,566
- Thread starter
-
- #41
Maelezo yako yanatia moyo,lipo tumaini.Kuingiza siasa kwenye taaluma, msigano kati ya Muhimbili Upanga na Chuo cha MUHAS enzi hizo ndio kulifanya Hospitali ya Mloganzila mwanzo kufanya vibaya,
Kipindi Hospitali inafunguliwa kuna maagizo yalitoka juu ya kuwa hamisha wagonjwa kutoka MNH UPANGA kwenda MLOGANZILA, ili kupunguza msongamano wa wagonjwa MNH-UPANGA,
MNH-Upanga nao wakatumia mwanya ule waliopewa wakawa wanachagua wale terminal ill patients wa internal medicine(wagonjwa wa magonjwa ya ndani) ndio wakawa wanawapeleka Mloganzila, wakifika kule wakawa hawachukui muda wana fariki, ndio jina baya la Mloganzila lilianzia pale.
ila kwa sasa kwa Afrika Mashariki na kati hakuna Hospitali yenye mazingira na miundombinu bora kuizidi mloganzila, na kwa sasa inafanya vizuri nadhani ni hospitali chache sana hapa nchini zinazidi Mloganzila kwenye kutoa huduma.
Nendeni mkatibiwe Mloganzila mtakuja na majibu tofauti na mnayo yasikia na kuyasoma Mitandaoni, wana jitahidi sana kwenye kutoa huduma, watoa huduma wao wana kauli nzurI, na wanawajali wagonjwa, mimi binafsi ni shahidi, ndio imekuwa kimbilio langu napopata changamoto za kiafya.
Kipindi cha COVID-19 wagonjwa wa COVID walikuwa wakiponea pale, wengi ni mashahidi.
Kwa sasa chini ya Prof Janabi imekuwa na muelekeo mzuri zaidi, na staff wa pale wengi ukiohojiana nao wanamkubali sana huyu mwamba Prof Janabi, anajali maslahi wa wafanyakazi wake, na hii imeongeza morari ya watoa huduma pale Mloganzila na Upanga kwa ujumla,
Naskia kuna msigano unaendelea kati ya Chuo cha Muhimbili na Muhimbili Upanga nani anapaswa kuiendesha Hospitali,
Kama mdau wa Afya nawashauri mwacheni kwa sasa Prof Janabi aendeshe ile Hospitali ana maono na muelekeo mzuri zaidi, na amefanikiwa kuleta mabadiliko chanya toka akabidhiwe Hospitali ya Upanga na Mloganzila, ataleta mapinduzi makubwa sana kwenye hizi Hospitali mbili za Taifa, kama alivyo fanya pale Taasisi ya Moyo ya JKCI.
Tanzania ukienda hospital, unatakiwa kuwa mwangalifu kweli kweli. Hospital nyingi zina madaktari uchwara. Infact vyuo siku hizi vinazalisha madaktari wauaji na siyo madaktari waponyaji.Ila hapo rabininsia sio mchezo,kwa experience niliyoipata siwezi recomend mtu especially mtoto kulazwa ila kitengule sina hakika
Dah,Mloganzila ni bonge la Hospital, lakini 80% , ya wagonjwa wanaopelekwa pale huwa hawatoboi ( Wanakufa), ndugu 2 kwangu wamekufa pale, na ukifikishwa pale haichukui ata siku 2 au 3 mgonjwa anakua ameaga dunia. Inavyoonesha wagonjwa wengi walio serious kutoka muhimbili upelekwa pale, na kwakuwa hospital ina tekinolojia nzuri sana, lakini madokta na manesi ni juniors (wanafunzi), basi kuna kupishana au kubabaika kwingi kwa utoaji huduma ambayo huleta kifo kwa baadhi ya wagonjwa ingawa wapo wanaopona. Gharama pia unaweza kukimbia, ndugu yangu alikaa siku moja na kufariki, tuliambiwa ni laki 9 tulipe. Hakuna kulala na mgonjwa (uzungu mwingi), wagonjwa wengi ufa kwa kustukiwa asubuhi(Ukaguzi Zero), na kama unavyojua mwafrika akiwa mgonjwa anapenda kuwaona wapendwa wake ukimuacha peke ake ufa kirahisi, na manesi hawana muda wa kuwaona wagonjwa, kiufupi naweza Sema ni CAPITALIST HOSPITAL (hawana huruma).
Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Pole Sana kwa kufiwa na mama.Kwanza mloganzila wameiga mfumo wa ulaya wa mgonjwa kulala mwenyewe muda mwingi bila msaidizi wakati wao wana wafanyakazi wasio na wito kabisa...imagine mgonjwa amezidiwa hadi anakata roho hakuna cha nesi wala nini anayekuja kuokoa jahazi.
Tuliwahi kuta maiti ya mgonjwa aliyefariki saa 8 usiku ipo kitandani hadi saa 12 asubuhi ule muda wanaoruhusu waleta menu.
Pia ni wazembe sana...niliuguza mama yangu pale japo hakufia pale.
Madaktari wengi wazuri wamegomea muhimbili ya upanga mloganzila kwa asilimia kubwa wamebaki wanafunzi.
Rabininsia ni hospitali nzuri sana. Kwanza ukitaka kujua ni nzuri tazama vifaa tiba vyake, huduma zao hata mapokezi tu na marupurupu ya wafanyakazi wao yalivyoHizi story huwa nyingi sana. Hata mimi
Niliwahi kuskia wanasema hivyo hivyo kuhusu kitengule na rabininsia. Sasa kwakuwa sijawahi kutibiwa pale niliishia kuyapuuza
Asante mkuu.
Mkuu, fatality rate unaita story za vijiweni. Research zilishafanyika hapo, usitegemee mgonjwa wa stage 4 coron cancer apone sawasawa na mgonjwa wa kichocho.Zinaweza kweli kuwa ni story za mitaani lakini hata wewe umeleta story za mitaani. Huwezi kusema eti kwa sababu wanakwenda wagonjwa wa magonjwa fulani basi ni halali kuwe na vifo vingi. Hili jambo linahitaji research ya kina ndiyo ufikie hitimisho kama hili. Hata kwa wagonjwa wa magonjwa uliyoandika bado uzembe unaweza kutokea.
Hii hospitali irudishwe MUHAS....kwani wao ndio wamiliki kuanzia wazo la ujenzi na pia isitoshe imejengwa kwenye plot yao.Kuingiza siasa kwenye taaluma, msigano kati ya Muhimbili Upanga na Chuo cha MUHAS enzi hizo ndio kulifanya Hospitali ya Mloganzila mwanzo kufanya vibaya,
Kipindi Hospitali inafunguliwa kuna maagizo yalitoka juu ya kuwa hamisha wagonjwa kutoka MNH UPANGA kwenda MLOGANZILA, ili kupunguza msongamano wa wagonjwa MNH-UPANGA,
MNH-Upanga nao wakatumia mwanya ule waliopewa wakawa wanachagua wale terminal ill patients wa internal medicine(wagonjwa wa magonjwa ya ndani) ndio wakawa wanawapeleka Mloganzila, wakifika kule wakawa hawachukui muda wana fariki, ndio jina baya la Mloganzila lilianzia pale.
ila kwa sasa kwa Afrika Mashariki na kati hakuna Hospitali yenye mazingira na miundombinu bora kuizidi mloganzila, na kwa sasa inafanya vizuri nadhani ni hospitali chache sana hapa nchini zinazidi Mloganzila kwenye kutoa huduma.
Nendeni mkatibiwe Mloganzila mtakuja na majibu tofauti na mnayo yasikia na kuyasoma Mitandaoni, wana jitahidi sana kwenye kutoa huduma, watoa huduma wao wana kauli nzurI, na wanawajali wagonjwa, mimi binafsi ni shahidi, ndio imekuwa kimbilio langu napopata changamoto za kiafya.
Kipindi cha COVID-19 wagonjwa wa COVID walikuwa wakiponea pale, wengi ni mashahidi.
Kwa sasa chini ya Prof Janabi imekuwa na muelekeo mzuri zaidi, na staff wa pale wengi ukiohojiana nao wanamkubali sana huyu mwamba Prof Janabi, anajali maslahi wa wafanyakazi wake, na hii imeongeza morari ya watoa huduma pale Mloganzila na Upanga kwa ujumla,
Naskia kuna msigano unaendelea kati ya Chuo cha Muhimbili na Muhimbili Upanga nani anapaswa kuiendesha Hospitali,
Kama mdau wa Afya nawashauri mwacheni kwa sasa Prof Janabi aendeshe ile Hospitali ana maono na muelekeo mzuri zaidi, na amefanikiwa kuleta mabadiliko chanya toka akabidhiwe Hospitali ya Upanga na Mloganzila, ataleta mapinduzi makubwa sana kwenye hizi Hospitali mbili za Taifa, kama alivyo fanya pale Taasisi ya Moyo ya JKCI.
Inaonekana unaijua hii hospital au uko huko. Ungekuwa umetusaidia kama ungeweka hizo statistics hapa tuweze kufanya huo ulinganifu unaosema. Hizi tetesi zipo sana na majuzi tuu nimemsikia Prof Janabi akizitolea ufafanuzi, yeye tofauti na wewe hakuna hata neno moja la kejeli alilotumia kama wewe ulivyofanya, pamoja na kwamba yeye ndiye mkurugenzi mkuu wa hizo Hospital.Story za mtaani zisizo na maana.
Mloganzila ila mortality rate ndogo sana ukilinganisha na MNH Upanga.
Wakati hospitali ilipofunguliwa ikiwa chini ya MUHAS, ilianza na kitengo cha magonjwa ya ndani (Internal Medicine)
Kitenho hiki ndio kinapokea wagonjwa wengi wenye terminal illnesses - Idadi kubwa ya Saratani, Magonjwa ya Figo, Magonjwa ya ini n.k
Kumbuka hii ni hispitali ya taifa hivyo wengi wenye magonjwa tajwa hapo juu walikuwa wakifika na hali mbaya, na kwa sababu hospitali ilikuwa na kitengo hiko tu ikaonekana kwa juu juu na wabongo hawajui statistics kama vile kila mgonjwa anayekuja anachance kubwa wa kufa.
Wabongo wakashika hilo na kufanya ndo stori wa kila kijiwe.
Ujinga utatumaliza
Leo Gazeti ya Mwananchi wameandika nanukuu.Story za mtaani zisizo na maana.
Mloganzila ila mortality rate ndogo sana ukilinganisha na MNH Upanga.
Wakati hospitali ilipofunguliwa ikiwa chini ya MUHAS, ilianza na kitengo cha magonjwa ya ndani (Internal Medicine)
Kitenho hiki ndio kinapokea wagonjwa wengi wenye terminal illnesses - Idadi kubwa ya Saratani, Magonjwa ya Figo, Magonjwa ya ini n.k
Kumbuka hii ni hispitali ya taifa hivyo wengi wenye magonjwa tajwa hapo juu walikuwa wakifika na hali mbaya, na kwa sababu hospitali ilikuwa na kitengo hiko tu ikaonekana kwa juu juu na wabongo hawajui statistics kama vile kila mgonjwa anayekuja anachance kubwa wa kufa.
Wabongo wakashika hilo na kufanya ndo stori wa kila kijiwe.
Ujinga utatumaliza
Ilifanywa na nani? Lini? Naomba link nisome hiyo reseach kama ipo kwenye mtandao.Mkuu, fatality rate unaita story za vijiweni. Research zilishafanyika hapo, usitegemee mgonjwa wa stage 4 coron cancer apone sawasawa na mgonjwa wa kichocho.
Elezea kwa kirefu mkuu. Unaonekana una hoja ila umefupisha sana. Wabunge,utafiti,teaching University,vyote umeviweka kwa pamoja.Ni ujinga unatusubua watz, mloganzila ni teaching university hospital. Muhimbili iachie ifanye utafiti. Kwa nini wabunge hawaelewi.
Hii hospitali irudishwe MUHAS....kwani wao ndio wamiliki kuanzia wazo la ujenzi na pia isitoshe imejengwa kwenye plot yao.