GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Kwa hiyo itumike Kingereza?Tanzania Ni nchi maskini ambayo haina uwezo wa kutumia lugha yake yenyewe katika nyanja zote.
Hakuna lugha ambayo haian misamiati mkuu utafiti wako ulifanyia chooni auKIswahili hakifai, kwenye sayansi kiswahili hakina misamiati....
Wanaogopa kitapotea, hakiwezi potea, kinapitia mageuzi tu, hata kiingereza original kile cha kwenye bibilia za kiingereza hakipo tena, kimebadilika.
sub-atomic particles zinaitwaje kwa kiswahili,Hakuna lugha ambayo haian misamiati mkuu utafiti wako ulifanyia chooni au
Kwa hiyo itumike Kingereza
Wewe unaetaka kingereza kitumike una nia gani hasa ?Ni mjadala wa miaka mingi, lakini bado muafaka haukafikiwa.
Kuna wanaotaka Kiswahili kitumike kufundishia kuanzia Chekea Hadi Chuo Kikuu, na kuna wanaotoka English iwe lugha rasmi ya kufundishia madarasa yote.
Mimi nakubaliana na wanaotaka Kiingereza ndiyo kitumike?
Kwa wale wanaotaka Kiswahili kitumike wana nia gani hasa? Wanasukumwa na uzalendo au hawakijui Kingereza fasaha?
Chembe ziada za atomiki , tafuta vitabu ya biology, Chemistry, na geography vya kiswahili uone Kama Kuna neno limeachwa aununua Lambert iliyoandikwa kwa kiswahili ukishindwa tafuta kamusi ya sayansi na teknolojia. Ukweli kuhusu lugha nikuwa lugha yeyote hujitosheleza kwa watu wake na misamiati unaweza kuongezwa wakati wowote hushangau Kwanini Misamiati mingi ya geography katika kingereza Ni ya lugha za kilatini au Hesabu lugha za kiarabu?sub-atomic particles zinaitwaje kwa kiswahili,
aisee, basi tuko vizuri sananunua Lambert iliyoandikwa kwa kiswahili
ndo mageuzi hayo, inakua kwa kutohoa kutoka lugha zinginehushangau Kwanini Misamiati mingi ya geography katika kingereza Ni ya lugha za kilatini au Hesabu lugha za kiarabu?
Kiswahili ni lugha ya Kimataifa. Watanzania wengi wakikijua itakuwa ni rahisi kujichanganya kwa uhuru na watu wa mataifa mengine. Lugha isingekuwa kikwazo.Wewe unaetaka kingereza kitumike una nia gani hasa ?
HuelewekiKiswahili ni lugha ya Kimataifa. Watanzania wengi wakikijua itakuwa ni rahisi kujichanganya kwa uhuru na watu wa mataifa mengine. Lugha isingekuwa kikwazo.
Kwa maneno mengine ni kuwa baadhi ya Watanzania wanakosa fursa za Kimataifa kwa sababu ya kutokujua Kiingereza fasaha!Hueleweki
Kwa nini China, Japan, Korea lugha ya kufundishia sio kingereza wao hawataki hizo fursa za kimataifa unazo ziona wewe peke yako kwa sababu ya kingereza ?Kwa maneno mengine ni kuwa baadhi ya Watanzania wanakosa fursa za Kimataifa kwa sababu ya kutokujua Kiingereza fasaha!
China Ina nguvu kiuchumi.Ndivyo. Tanzania ingekuwa na nguvu kiuchumi hata nchi nyingine zingetumia kiswahili kufundishia . Lakini kwa bahati mbaya nchi yetu bado Ni tegemezi hivyo hata lugha na utamaduni inabidi tutegemee wa nje
Hizo nchi zinajiweza,Kwa nini China, Japan, Korea lugha ya kufundishia sio kingereza wao hawataki hizo fursa za kimataifa unazo ziona wewe peke yako kwa sababu ya kingereza ?
Kwani zimeanza kutumia lugha zao baada ya kujiweza au toka kabla katika hali kama ya kwetu ?Hizo nchi zinajiweza,
Japan anaweza kuajiri watu wake wote, ila wew je
Lengo la kutoa elimu ni watu wako kusaidia taifa lako au kwenda kuajiriwa U.N ?English is International language,
Daktari usome udaktar kwa kiswahili, uambiwe labia majora ina shavu nene 🤣 kisha uende interview ya UN wakuulize labia majora ni nini ushindwe 🤣🤣🤣🤣
Tusome tu English tuwe international people, no proud in being local ppl