Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Kwamba hoja ya matumizi ya lugha kiswahili katika kufundishia ni ya wanasiasa ?Maswali matatu muhimu:
Swali la kwanza: ni nani anayepigia debe utumiaji wa Kiswahili kwenye ngazi zote za Elimu?
Jibu: miongoni mwao ni wanasiasa!
Swali la pili: watoto wa wanasiasa wengi wanasoma zipi?
Jibu: shule za English Medium za ndani na nje ya nchi
Swali la tatu: kwa nini wanasiasa wengi wanapenda kuwapeleka watoto wao shule za English Medium?
Jibu: Mkuu "So special" atusaidia jibu🤣
Sijui najadiliana na mtu wa namna gani!.