Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Kwamba hoja ya matumizi ya lugha kiswahili katika kufundishia ni ya wanasiasa ?Maswali matatu muhimu:
Swali la kwanza: ni nani anayepigia debe utumiaji wa Kiswahili kwenye ngazi zote za Elimu?
Jibu: miongoni mwao ni wanasiasa!
Swali la pili: watoto wa wanasiasa wengi wanasoma zipi?
Jibu: shule za English Medium za ndani na nje ya nchi
Swali la tatu: kwa nini wanasiasa wengi wanapenda kuwapeleka watoto wao shule za English Medium?
Jibu: Mkuu "So special" atusaidia jibu🤣
Huenda unaongea kwa mihemko au huelewi pia unachokizungumza,, Ni wachache au hakuna kabisa wanasiasa wanakubali kiswahili kitumike Kama lugha ya kufundishia Tanzania. Kwahiyo hiyo kauli yako Ni nonesense.Maswali matatu muhimu:
Swali la kwanza: ni nani anayepigia debe utumiaji wa Kiswahili kwenye ngazi zote za Elimu?
Jibu: miongoni mwao ni wanasiasa!
Swali la pili: watoto wa wanasiasa wengi wanasoma zipi?
Jibu: shule za English Medium za ndani na nje ya nchi
Swali la tatu: kwa nini wanasiasa wengi wanapenda kuwapeleka watoto wao shule za English Medium?
Jibu: Mkuu "So special" atusaidia jibu🤣
Hata Mimi nimeshangaaa Sana wakati wanasiasa ndio wanaipinga huyu jamaa yaelekea Ni kilaza sanaKwamba hoja ya matumizi ya lugha kiswahili katika kufundishia ni ya wanasiasa ?
Sijui najadiliana na mtu wa namna gani!.
English ✅Chagua unachoona kinakufaa Mkuu..
China Ina nguvu kiuchumi.
Tutajie Taifa jingine linalotambulika na Umoja wa Mataifa lonalotumia kichina kama lugha ya kufundishia?
Cha muhimu ni Nia, maono ya nchi, kwa wataalamu na wanasiasa.
hii tafsiri ya "sub-" kuwa "ziada" bado hainiingii akilini mkuu. Na "extraterrestrial" kiswahili chake itakuwa nini?Chembe ziada za atomiki , tafuta vitabu ya biology, Chemistry, na geography vya kiswahili uone Kama Kuna neno limeachwa aununua Lambert iliyoandikwa kwa kiswahili ukishindwa tafuta kamusi ya sayansi na teknolojia. Ukweli kuhusu lugha nikuwa lugha yeyote hujitosheleza kwa watu wake na misamiati unaweza kuongezwa wakati wowote hushangau Kwanini Misamiati mingi ya geography katika kingereza Ni ya lugha za kilatini au Hesabu lugha za kiarabu?
Kwani kwa sasa ni lugha gani inayotumika kufundishia?Kwamba hoja ya matumizi ya lugha kiswahili katika kufundishia ni ya wanasiasa ?
Sijui najadiliana na mtu wa namna gani!.
Huwezi kujadili bila kukejeli?Hata Mimi nimeshangaaa Sana wakati wanasiasa ndio wanaipinga huyu jamaa yaelekea Ni kilaza sana
hii tafsiri ya "sub-" kuwa "ziada" bado hainiingii akilini mkuu. Na "extraterrestrial" kiswahili chake itakuwa nini?Chembe ziada za atomiki , tafuta vitabu ya biology, Chemistry, na geography vya kiswahili uone Kama Kuna neno limeachwa aununua Lambert iliyoandikwa kwa kiswahili ukishindwa tafuta kamusi ya sayansi na teknolojia. Ukweli kuhusu lugha nikuwa lugha yeyote hujitosheleza kwa watu wake na misamiati unaweza kuongezwa wakati wowote hushangau Kwanini Misamiati mingi ya geography katika kingereza Ni ya lugha za kilatini au Hesabu lugha za kiarabu?
Hoja yako ilibase kwamba Tanzania Haina nguvu za kiuchumi?Unakurupuka kuelewa kilichoandikwa. MTU hajifunzi lugha Fulani kwaajili ya kujifurahisha. Kitu ch kwanza kinachoweza kusambaza lugha Ni dola yenye nguvu kiuchumi na kila kitu . Angalia hata kiswahili kilienea miaka hiyo kuliko Sasa kwasababu kiliendeshwa na dola zenye nguvu Kama Uingereza na ujerumani. (Kiswahili kilienea zaidi zamani kuliko Sasa kwa Sasa kinaenea kiakademia peke yake) fanya utafiti uone Ni watu wangapi kwa Sasa wanajifunza kichina, kwa lengo la kurahisisha biashara au kwa lengo la kupata fursa zinazopatikana katika lugha hii. Angalia taasisi inayoshughulika na lugha Confiscus institute inavyosambaa kwa Kasi kueneza kichina duniani Kama ilivyo kwa British Council, je Tanzania inalo shirika lenye fedha linaloweza kueneza kiswahili au kujenga vituo vya kueneza kiswahili nchi nyingine ? Tanzania haina uwezo wa kuamua kutumia lugha yake na wenye jukumu la kuzuia Hilo Ni mashirika Kama British council ambalo kazi yake kubwa Ni kueneza lugha ya kizungu na utamaduni wa wazungu Siku Tanzania ikiwa na uwezo mkubwa kiuchumi bila kutegemea wahisani kwa kiasi kikubwa utaweza pia kutoka katika utumwa wa lugha na utamaduni