Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Nifafanulie kidogo hapo... ukiondoa obvious differences.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ufafanuzi kwa Mwanakijiji:
Upande wa Kambona...yeye alitofautiana kiitikadi tu na mkuu wa nchi almost soon after the mutiny. Sasa unatofautiana na mkuu wa nchi aliyeponea chupuchupu kupinduliwa na bado yuko paranoid...mali zako zinataifishwa.....watu (pamoja na ndugu zake wawili)wanaanza kukamatwa na kuwekwa kizuizini...wewe kama una akili utaendelea kuzubaa zubaa kweli...? Si utakimbia ukihofia maisha yako...?
mzee historia inategemea nani anaisimulia... mzee mambo yote yaliyosemwa hapo yametokana na simulizi. Sasa kabla hatujaanza kuruka ruka kuwa we found "it" ni vizuri kujiuliza.
a. Msimulizi ana lengo lolote jingine la kutusimulia anachotusimulia?
swali zuri. bahati mbaya simfahamu msimulizi labda wale wanaomfahamu wanaweza kutuchambulia hilib. Msimulizi anahusika vipi katika kisa anachosimulia (is he a hero or the anti hero "villain")?
c. Je, msimulizi ananufaika vipi na masimulizi anayoyasimulia?"
d. Katika kisa cha historia je kuna watu wengine wanaoweza kutupa masimulizi yanayolingana na msimulizi huyo na watu hao wako huru kiasi gani? Nitakupa mfano wa Injili za Yesu. Hadi miaka kadhaa baada ya Ukristu kutoka ushahidi mkubwa wa maisha ya Yesu ni maandishi ya Wafuasi wake. Mpaka pale maandishi ya Josephus Myahudi toka Roma (contemporary wa Yesu) ndiyo wana historia wanapata picha ya maisha ya Yesu. HIvyo maandishi ya Marko, Mathayo, Luka na Yohana ni mazuri kwa wafuasi lakini kwa wasomi we need outside source.
Sasa kwenye suala hili kuna watu ambao binafsi kabla sijaamua kushangilia au kushangaa, kuona kuwa stori imefika au inaendelea ningependa kuwasikia wale waliopo... Ni kina nani waliosalia ambao wanaweza kutueleza kuhusu historia yetu ya mwanzoni? Je, Kawawa ni reliable source wa matukio ya awali ya historia yetu..?
mzee historia inategemea nani anaisimulia... mzee mambo yote yaliyosemwa hapo yametokana na simulizi. Sasa kabla hatujaanza kuruka ruka kuwa we found "it" ni vizuri kujiuliza.
a. Msimulizi ana lengo lolote jingine la kutusimulia anachotusimulia?
b. Msimulizi anahusika vipi katika kisa anachosimulia (is he a hero or the anti hero "villain")?
c. Je, msimulizi ananufaika vipi na masimulizi anayoyasimulia?
d. Katika kisa cha historia je kuna watu wengine wanaoweza kutupa masimulizi yanayolingana na msimulizi huyo na watu hao wako huru kiasi gani? Nitakupa mfano wa Injili za Yesu. Hadi miaka kadhaa baada ya Ukristu kutoka ushahidi mkubwa wa maisha ya Yesu ni maandishi ya Wafuasi wake. Mpaka pale maandishi ya Josephus Myahudi toka Roma (contemporary wa Yesu) ndiyo wana historia wanapata picha ya maisha ya Yesu. HIvyo maandishi ya Marko, Mathayo, Luka na Yohana ni mazuri kwa wafuasi lakini kwa wasomi we need outside source.
na yapo maswali mengine.
Sasa kwenye suala hili kuna watu ambao binafsi kabla sijaamua kushangilia au kushangaa, kuona kuwa stori imefika au inaendelea ningependa kuwasikia wale waliopo... Ni kina nani waliosalia ambao wanaweza kutueleza kuhusu historia yetu ya mwanzoni? Je, Kawawa ni reliable source wa matukio ya awali ya historia yetu..?
Kwa hili mimi sina authority yoyote. Nyinyi kama mimi niliiamba na kucheza mchakamchaka; najua jinsi gani kuna watu ambao waliimbwa vibaya (mwingine ni Mohammed Babu). Nimezisikia hizi habari za "upande wa pili" vile vile. I'll tell you what, mimi ni mwanafunzi mzuri wa historia nawasikiliza lakini ninapima kauli zote kwa umakini sana na mwitikio wangu siyo wa kihisia (not an emotional response) bali zaidi wa kiakili (intellectual response). So, wana ndugu endeleeni kujadili nami nafuatilia nikijifunza mengi na nikiuliza mengi bila kukubali kwa haraka.