Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

sijui habari za kambona vizuri,but i remember reading somewhere kwamba "Kambona was the good president that tanzania never had"
 
kuna mambo ambayo sometimez kama nchi inabidi kusamehe, kuendelea kumdetain Mzee jumbe i dont think its fair,kuna watu wangapi waliofanya makosa makubwa kwenye jamii na wakasamehewa, I think it has reach a time for journalist to raise this issue that the government could act on it..
 
Hatuna Independent Journalist Tanzania.Waliopitia TSJ enzi hizo ilikuwa ni brainwashing.
Also tukumbuke Tanzania hakuna watu wanaoandika biographies.

Kuna history ya Upinzani Tanzania inapotea kabisa.Kambona,Kasela Bantu,Mapalala na Chief Makwaia hawa walikuwa watu mahiri sana,lakini nobody dares to find what happens ,na familia zao.
At least Kaijage ameandika account yake.Watu kama akina Mzee Jumbe sijui amezimwa au vipi i dont know.

Kuna watu wengi wanamuenzi Nyerere,lakini tukumbuke yeye ndio aliua upinzani outright,no freedom of expression,hata kusafiri nje wakati ule ,ilikuwa vigumu.
CCM ya sasa ni matunda ya Nyerere,maana structure aliiweka yeye.
 
Yes,Indeed Mkulu

Ajabu,kuna watu wengi tena wasomi hawalioni hilo,wamekaa tu nakuanza kuzungumza sijui AZIMIO la nini sijui!!!???
Unajua,kunawatu wako kwenye hii system miaka na miaka toka balee zao hawaijui njaa,tu kwa sababu Mwalimu loved them.
 
Oscar Salathiel Kambona was a Manda from the shores of lake Nyasa.....na Mwalimu alikuwa bestman wa harusi yake alipomuoa Miss Tanzania wa kwanza London...alipokufa Nyerere hakwenda hata kumzika...hakumsamehe hata baada ya mauti....watu hawa walikuwa marafiki sana na inadaiwa Kawawa ndio alichangia kuwachonganisha
 
Madai haya sio ya kweli.
Kawawa hakuwachonganisha ila ni hili AZIMIO LA ARUSHA ndio liliwachonganisha
 
kwani historia ya Mtei kaandikiwa na nani?

we need to know our country better than just assuming some people will do for you!

Leo akina Magufuli n.k wajiandikie wenyewe historia, Kambona aliijua nchi hii fika na alijua hakuna atakayemwandika, ndivyo tulivyo!

mkitaka watu waandike leo wataipindisha pindisha wee au kuweka isiyo ya kweli! SERIKALINI watu wanawaza vikao vya harusi tu na kucheza karata kwenye PC!

Kikwete mwenyewe hakuna atakayemwandika! unless ajitafutie watu mapema waandike tena akiwa hai, maana akifa tutakachokumbuka ni safari tu za nje!
 
Tema mate chini baada ya Rais wa Poland kupata ajali ya ndege... Imemuogofya sana Jamaa hatasafiri tena Mwaka huu...
 
Wakuu Waberoya na Tusker Bariidi,

mmeniua kwa vicheko.U've made my day,lol

Kwa hiyo ndo maana Jk alishtuka sana,maanake hisa zake za uongozi kawekeza angani
 
Madai haya sio ya kweli.
Kawawa hakuwachonganisha ila ni hili AZIMIO LA ARUSHA ndio liliwachonganisha

Sanda,
Ukitaka ukweli ndio huo.....Julius and Oscar were pals....Rashid messed them up kwa kuwa aliona Oscar is a blockade between him and Julius
 
Madai haya sio ya kweli.
Kawawa hakuwachonganisha ila ni hili AZIMIO LA ARUSHA ndio liliwachonganisha

...Rashid was not happy on how Oscar handled 1964 mutiny issue(and not himself) when he and Julius went into hiding and Oscar was the hero...there was no Azimio by that time...the Azimio wa a just a tool to finish off Oscar...
 
Think for a moment
Who do you think between Julius and Rashid, needed the other more...?
Politics kitu cha ajabu sana.
 
Think for a moment
Who do you think between Julius and Rashid, needed the other more...?
Politics kitu cha ajabu sana.

Both needed the other....Rashid could not be on his own that's why he did not even ponder to succeed Julius for the presidency...Julius needed people who could not challenge him and Rashid was just the man
 
Jibu ni rahisi sana na umelitoa tayari ingawa hutaki kukubari moja kwa moja.
Sababu ya kuwa Rashid could not stand on his own does not suffice after all it was him Rashid and other Tanu members ndio walimwalika Nyerere.
Ukweli ni kwamba,Julius aliwazidi wenzie akili na kwakua....."Julius needed people who could not challenge him and Rashid was just the man................"

Kambona alikua na akili kumzidi Julius na hilo likawa tatizo.

It was not Rashid who invited Julius to TANU but the otherway around....Mustafa Songambele alikuwa taxi driver aliyekuwa akimtoa Julius Pugu and back on Sykes family account...huyu ndio alimleta Rashid kwa Julius kwa kuwa wanatoka kumoja....Songea...Abdulwahid Sykes ndie aliemleta Julius katika TAA siyo TANU
 
Asante kwa kuliweka sawa hilo la TAA na TANU!
niliposema other Taa/Tanu member nilikua nawazungumzia hao wakina Abdul Sykes na wenziwe,process ya kwenda kumuleta Mwalimu kujiunga na siasa imeelzwa vizuri kwenye kitabu cha MR.....UAMUZI WA BUSARA WA TABORA
 
Tuko pamoja mkuu.....
 
Mr. Oscar Salathiel Kambona was born on the shores of Lake Nyasa in a small village called Kwambe near Mbamba Bay in the district of Mbinga, Songea Region in 1925. He was the son of the Reverend David Kambona and Mrs Miriam Kambona. Reverend David Kambona belonged to the first group of African priests to be ordained into the Anglican Church of Tanganyika.
When Oscar Kambona was a child, his father would tell him about his dream for independence of his country and Kambona grew up with a burning desire to be of service to his country. Kambona received his primary education at home under the mango tree, (which is still standing today) in his village by both his parents and uncle, all of whom were teachers.
He was then sent to St Barnabas Middle School in Liuli and then Alliance Secondary School in Dodoma. His school fees were paid for by the European Anglican Bishop because his father couldn't afford the school fees of 30 Pounds a year. Kambona told of how he convinced the Anglican Bishop to pay for his school fees by reciting the 'Lords Prayer' in English.
He was then selected to attend Tabora Boys' Senior Government School where he first met Nyerere, who was already teaching at a Catholic School. On completing his secondary education, Kambona returned to his former Alliance Secondary School to become a teacher and was finally appointed the Schoolmaster.
It was at a National Teachers' Conference in 1954 when the two, Kambona and Nyerere met again. Kambona offered his services to the newly formed TANU movement. Nyerere replied that TANU could not employ him as it had no funds. Kambona answered that TANU had no funds because it didn't have an Organizing Secretary and offered to give up his teaching post to work (without pay) to build up the party as its Organizing Secretary, living only off his saved up teaching salary for 6 months. During this time, Kambona traveled the country visiting chiefs and elders in a recruitment drive. At the end of 6 months, Kambona had successfully recruited 10,000 members. By the end of one year, TANU had over 100,000 fully paid up members. With the subscriptions Kambona opened the first bank account of TANU. He returned to Butiama to convince Nyerere to take up full leadership.
After three years, Kambona decided to take up the Governor's scholarship to study Law at the Middle Temple in the UK in 1957. While in London, Kambona also became Head of the Tanganyika Student's Association, Chairman of the London Branch of TANU and met for the first time his mentor, the great Pan Africanist and thinker, George Padmore. George Padmore persuaded Kambona to attend the 1958 first All Africa's People's Conference in newly Independent Ghana. There, Kambona met his other great hero Kwame Nkrumah. While studying in UK, Kambona also became the first person to broadcast the news on the BBC Kiswahili Service.
Back home in 1959, TANU had demanded 'Internal Self Government,' otherwise they were to proceed with 'Positive Action' as in the case of the Kenyan Mau Mau movement. While in London seeking approval for Internal Self Government, Nyerere discussed with Kambona possible outcomes to avert the serious situation.
In his address to the Press in London in 1991 Kambona recalls some of the events:
''Mr. Nyerere was staying with me in my cramped student accommodation. We discussed how he could avoid returning to Tanganyika to face his supporters empty handed. I managed to persuade him to state at a press conference at the East Africa House in Marble Arch that: 'The white settlers in Tanganyika were the most reasonable in East Africa.'' He agreed to do this on condition that I would suspend my law studies in London and return to Tanganyika to give him support before the National Executive Committee of TANU when he defended the 'most reasonable statement'.
Following the first elections under universal, TANU won every seat but one. TANU formed the first government under Self Rule, with Julius Nyerere as the chief minister. It was also during the preparations that Kambona married Flora Moriyo from Kilimanjaro, during a trip to London in November 1960 to finalize the details of independence with the British Government. The ceremony was held at St Paul's Cathedral, London and Julius Nyerere led the young bride to the alter.
Kambona was appointed the Minister for Education. He later held posts as the minister for home affairs, minister for external relations and defence, the first Chairman of the OAU Liberation Committee and Chairman of the Drafting Charter of the OAU and finally minister for regional administration.
In 1964 Kambona played a crucial role in the unification of Zanzibar and Tanganyika along side President Nyerere, President Karume and Chief Minister Hanga after the Zanzibar Revolution. He was also the main negotiator between the government and the rebellious army leaders in 1964, when soldiers from the Colito Barracks staged a mutiny. Nyerere and Kawawa were both led into hiding in Kigamboni.
After three days of negotiations, Kambona consented to speed up the process of 'Africanisation' within the army. In an interview with London�s Daily Telegraph, Kambona said: ''after I had calmed down the soldiers, I went to fetch the other leaders in my Land Rover to bring them back to the city.'' The British army eventually put down the mutiny and Nyerere praised Kambona for his bravery and loyalty.
After the mutiny, differences between Kambona and Nyerere began to appear. Nyerere wanted to introduce a one party system into Tanzania to strengthen state security. Kambona argued against the move claiming that it would inhibit people's freedom and progress towards democracy. However, Kambona was defeated in parliament. He refused to sign the bill.
In 1967 after a trip to China in 1965, Nyerere impressed with Mao's style of communism, wanted to adopt the same system under the guise of Ujamaa. The main doctrine behind Ujamaa was the relocation of peasants into village communes and the nationalization of all industries and property. Kambona did not agree with the policies, arguing that they would rather increase poverty and state control over the people. He resigned from the Government and the party and later with his family fled to neighbouring Kenya and then UK were he was granted political asylum.
Immediately thereafter, Kambona's properties were confiscated. His two brothers Mattiya and Ottini Kambona were detained without trial and put in prison for over ten years. Other family members were harassed and detained. Some were falsely accused of plotting to overthrow the Tanzanian Government and were tried and imprisoned by the Government. Most famous of these were Bibi Titi who fought alongside Nyerere in the independence movement and was head of the woman's wing and also Michael Kamaliza, the former trade unionist and TANU member and government Minister. Other family members included Gray Mattaka, John and Elia Chipaka and Prisca Chiombola. Kambona was also accused of being the ring leader of the plotters while in London and was tried in absentia. The accused finally appealed to the East African High Court and were acquitted. Though they were later rounded up by the Tanzanian government and thrown into jail again.
Kambona was also accused of stealing millions of public funds, which he rejected out rightly in a press statement issued on 6th September in London, 1967. The allegations claimed, ''Kambona was found with a lot money when searched at Nairobi Airport''. However in his press statement, Kambona challenged the Tanzanian government to request the Kenyan authorities to 'substantiate the allegations'' which they never did.
In London Kambona led a tough life in exile under considerable financial constraints. However in 1982, his two brothers Mattiya and Otini Kambona were eventually released from detention after the intervention of New Zealand Prime Minister Robert Muldoon.
In 1990 anticipating changes in Tanzania, Oscar Kambona formed the Tanzania Democratic Alliance, an umbrella organization bringing together the various pro democracy parties. When a multi party system was introduced in 1992 Kambona requested to return to Tanzania. The Tanzanian government refused claiming that he was not a citizen. Kambona appealed to the British Government to give him a travel document to enter Tanzania. The Tanzanian authorities claimed that they would arrest him immediately upon entry. Nevertheless, on 5th September 1992, Kambona made the courageous journey back to Tanzania and triumphantly entered Tanzanian soil. No authorities were present to arrest him, though he was given only three months to sort out his nationality question.
On returning to Tanzania Kambona found that the progress towards democracy was disappointingly slow. After experiencing several strokes Oscar Kambona died in London in 1997 where he was receiving medical attention. In a twist of fate his younger brother Ottini Kambona also died at the same time from heart failure.
Kambona is survived by his wife and two children. His eldest son Mosi Kambona was murdered in London in unexplained circumstances.

Haya nahitimisha historia ya mtazanaia huyu....kwa sababu yake tu hadi leo hii eneo la asili yake halipewi kabisa maendeleo...all the way from Kyela to Mbamba bay
 
Mtanzania huyu shujaa,ni kweli wa kuachwa kwenye historia ya nchi hii???huku tuna mtukuza mwl.kama some sort of a saint?
 
Dah kweli siasa ni mchezo mchafu kabisa. a Hero to Villain, ndivyo ilivyokuwa. Ndo maana naichukia CCM
 
Back
Top Bottom