CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Tanzania watu wengi ni gizaGov ya chama kilichopo madarakani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania watu wengi ni gizaGov ya chama kilichopo madarakani.
Weak mind usually discus people but strong mind always discuses issues,CM 1774858 Ze Bulldozer Jesusie ABC ZA 2020 Jabali la Siasa ISRAEL JR
Mwananchi Huru
Hizi ID zina uhusiano wa Moja Kwa Moja!
Hangaya ni big failure nchi hii!Weak mind usually discus people but strong mind always discuses issues,
Sasa inakudhuru nini wewe kwa mfano?
Wewe ni mshamba tuHangaya ni big failure nchi hii!
Ni kweli,Mimi mtu wa shambabi Kwa sana!Karibu tuvune mahindi,ndio msimu wa kuvuna huu!Wewe ni mshamba tu
..... na hayo ni matumizi ya mapato/makusanyo yanayotokana na Kodi na Tozo mbalimmbali wanazolipa wananchi hivyo kuelekezwa kwenye shughuli za maendeleo kwa niaba yao.Tanzania watu wengi ni giza
Serikali inayofanya kazi efficiently lazima ina mpangilio wa majukumu kwa kila mtu kulingana na nafasi yake. Kwasababu hiyo kuna mambo mengi ambayo yanaweza yasimfikie Rais na mambo mengine ambayo yanayomfikia. Kwa bahati mbaya sana, maafa makubwa yanapotokea hata kwenye ngazi za chini, viongozi waliopo kwenye ngazi za juu wanaweza kuhusishwa hata kama hawa kuhusika moja kwa moja. Mambo mengi mazuri yanaweza kutekelezwa na mwanasiasa yeyote lakini watu huwa ni wepesi zaidi kukumbuka mabaya. Doa moja tu linatosha kumfanya mwana siasa yeyote kukumbukwa kwa mabayaManeno haya yanamaana sawa kimantiki " Rais kafanya X " " Serikali imefanya Y " au " " Tumefanya Z " tumia lolote utakuwa sahihi tu.
Kunabaadhi ya wenzetu wameishiwa hoja hasa huku mitandaoni kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakipinga kwa nguvu zote kutumika kwa sentesi " Rais X kafanya mradi Y".
Watu hawa mara zote wanahoji niwapi huyu Rais X kapata huu ukwasi wa kutekeleza mradi Y? Jambo ambalo kisiasa wanadhani linamuinua zaidi huyu Rais X kwa kupewa endorsement ya mradi "Y".
Wakati wote watu hawa ambao wengi wao ni watu kutoka Upinzani wamependekeza itumike sentesi " Serikali X imetekeleza mradi Y".
UFAFANUZI WANGU
____________________
Kwanza, Kisiasa : Sote tunafahamu ili tuweze kushinda Uchaguzi wowote ule popote tunahitaji mambo matano makubwa ambayo ni,
1. Mgombea Mzuri
2. Mtandao au Chama
3. Agenda|Ilani ya Uchaguzi
4. Organization au timu kampeni
5. Rasilimali, fedha, vitu na watu
Sasa kwahoja hii naomba tuangazie hitaji la tatu la kushinda Uchaguzi ambalo ni " ILANI YA UCHAGUZI " Ilani ya Uchaguzi inaweza kuwa yakuandikwa au yakutamkwa,
ILANI YA UCHAGUZI maana yake ni ahadi za mgombea au chama kwa Wapigakura au wananchi.
Tuelewane vizuri hapa tumesema Ilani ni ahadi ya mgombea au Chama wala sio ahadi ya Serikali kwa wapigakura au wananchi, nadhani hapa tunakubaliana wote,
Tukubaliane pia huyu mgombea baadae anaweza kushinda na kuwa Rais X, Sasa bila kusahau kuna ahadi aliwaahidi wapigakura wake yeye kama yeye yaani akishinda atafanya miradi X,Y,Z.
Kwaufafanuzi huu wa Ilani ya Uchaguzi kama miradi X,Y,Z ikitekelezwa na aliyekuwa Mgombea wa nafasi X ambae alishinda Uchaguzi huo kwa ahadi hizo na sasa anazitekeleza kama alivyoahidi ubaya unatoka wapi tukisema " Rais X katekeleza miradi X,Y,Z? "
Pili kimuundo : Rais wa JMT ndio Raia namba moja wa JMT ndie mkuu wa Serikali ndio afisa manunuzi mkuu, ndie mshauri mkuu wa bajeti ndie mtia saini wa mwisho wa sheria ya bajeti unakataaje hajafanya wakati kila kitu kinaanzia na kuishia kwake!!
Tatu, Rais ndie mwenye mamlaka ya kusimamia pesa yote ya nchi kabla na baada ya bajeti kwenye kutekeleza miradi ya nchi kwani ndie aliyepewa dhamana na ndio atakayeulizwa ifikapo mwaka 2025 kulingana na Ilani yake iliyopita hivyo anafanya kwa niaba yetu
Nne, Urais ni taasisi, Sisi sote tuko chini ya Rais wa JMT akiwa kama Raia namba moja wa nchi, Hivyo tuvifanyavyo tunavifanya kwa niaba ya Nchi na Rais wetu ndio maana likitokea baya lawama zote kwa Rais wa nchi kwanini linapotokea jema mnasita kusema kafanya hili Jema iweje Rais apokee mabaya tu mema asipokee?
||Serikali inafanya kwa niaba ya Rais na Rais anafanya kwa niaba ya wanachi||
Unaakili kubwa sana mtoa mada,Maneno haya yanamaana sawa kimantiki " Rais kafanya X " " Serikali imefanya Y " au " " Tumefanya Z " tumia lolote utakuwa sahihi tu.

Dr Bashiru Soma hiyoManeno haya yanamaana sawa kimantiki " Rais kafanya X " " Serikali imefanya Y " au " " Tumefanya Z " tumia lolote utakuwa sahihi tu.

ILANI haitoi Ushindi kwa CCM miaka yote WIZI wa KURA ndio Unawapa Ushindi CCMDuuuh kweli we Jabali
Hapo kwenye Ilani nimepapenda zaidi,
Awamu hii CHADEMA kazi mnayo,
Hata Kama kura zitaibwa lakini lazima awepo mgombea, Rudi kwenye hojaILANI haitoi Ushindi kwa CCM miaka yote WIZI wa KURA ndio Unawapa Ushindi CCM
Kama una AKILI za Kutosha jiulize
1.Kwanini CCM inaogopa KATIBA MPYA
2.KWANINI CCM INAOGOPA TUME HURU ya UCHAGUZI
3.KWANINI CCM INAKATAA wakurugenzi wasiwe Wasimamizi wa Uchaguzi
4.KWANINI CCM inakataa vyama vya Upinzani CHADEMA kisifanye Mikutano?
N.k
Hayo MASWALI ndio yanafanikisha Wizi wa KURA wakati wa Uchaguzi na CCM kushinda na SIO ILANI.
CHAMA kitakachoweza kuiba kura ndio MSHINDIHata Kama kura zitaibwa lakini lazima awepo mgombea, Rudi kwenye hoja
Ungejenga hoja badala ya malalakiko hayaCHAMA kitakachoweza kuiba kura ndio MSHINDI
hakuna cha ILANI wala Mtu Ccm kwa kuwa wana uwezo wa kuiba KURA hata wakimsimamisha SHUJAA MAJALIWA atakuwa RAIS tu.
HOJA ni KUIBA KURAUngejenga hoja badala ya malalakiko haya