Ukweli ni upi "Rais kafanya" au "Serikali imefanya"?

Tanzania watu wengi ni giza
..... na hayo ni matumizi ya mapato/makusanyo yanayotokana na Kodi na Tozo mbalimmbali wanazolipa wananchi hivyo kuelekezwa kwenye shughuli za maendeleo kwa niaba yao.
Aina, umuhimu,vipaumbele vya utekelezaji na matumizi sahihi ya fedha hizo hilo ni suala lingine.
 
Serikali inayofanya kazi efficiently lazima ina mpangilio wa majukumu kwa kila mtu kulingana na nafasi yake. Kwasababu hiyo kuna mambo mengi ambayo yanaweza yasimfikie Rais na mambo mengine ambayo yanayomfikia. Kwa bahati mbaya sana, maafa makubwa yanapotokea hata kwenye ngazi za chini, viongozi waliopo kwenye ngazi za juu wanaweza kuhusishwa hata kama hawa kuhusika moja kwa moja. Mambo mengi mazuri yanaweza kutekelezwa na mwanasiasa yeyote lakini watu huwa ni wepesi zaidi kukumbuka mabaya. Doa moja tu linatosha kumfanya mwana siasa yeyote kukumbukwa kwa mabaya
 
Kwa hiyo mabeberu mnaokopa hela kwao, vipi wakisema "Wao Ndio Wamefanya" itakuwa sawa!? Maana wimbo wa Samia kafanya hivi Samia kafanya vile unatia kinyaa wakati wananchi mnawaumiza kwa matozo.
 
Unaakili kubwa sana mtoa mada,
 
Ukweli ni kwamba rais kafanya. Serikali gangi itakubali kufanya this madness? Haya madeni atamipa namo? This ia kicung the can dwon the road. Nani kasema mikopo hii inatumika kwa kazi za maendeleo? Umewaona TISS? KILA MMOJA wao ana gari ya binafsi.(tokea Magufuli alipoingia Ikulu.)
 
Dr Bashiru Soma hiyo
 
Duuuh kweli we Jabali

Hapo kwenye Ilani nimepapenda zaidi,
Awamu hii CHADEMA kazi mnayo,
ILANI haitoi Ushindi kwa CCM miaka yote WIZI wa KURA ndio Unawapa Ushindi CCM
Kama una AKILI za Kutosha jiulize
1.Kwanini CCM inaogopa KATIBA MPYA
2.KWANINI CCM INAOGOPA TUME HURU ya UCHAGUZI
3.KWANINI CCM INAKATAA wakurugenzi wasiwe Wasimamizi wa Uchaguzi
4.KWANINI CCM inakataa vyama vya Upinzani CHADEMA kisifanye Mikutano?
N.k
Hayo MASWALI ndio yanafanikisha Wizi wa KURA wakati wa Uchaguzi na CCM kushinda na SIO ILANI.
 
Hata Kama kura zitaibwa lakini lazima awepo mgombea, Rudi kwenye hoja
 
Hata Kama kura zitaibwa lakini lazima awepo mgombea, Rudi kwenye hoja
CHAMA kitakachoweza kuiba kura ndio MSHINDI
hakuna cha ILANI wala Mtu Ccm kwa kuwa wana uwezo wa kuiba KURA hata wakimsimamisha SHUJAA MAJALIWA atakuwa RAIS tu.
 
CHAMA kitakachoweza kuiba kura ndio MSHINDI
hakuna cha ILANI wala Mtu Ccm kwa kuwa wana uwezo wa kuiba KURA hata wakimsimamisha SHUJAA MAJALIWA atakuwa RAIS tu.
Ungejenga hoja badala ya malalakiko haya
 
Rais yeye hajawahi kusimama Mahala popote na kusema Nimefanya au Nitafanya siku zote tunamsikia akisema Serikali itafanya au tutafanya au tumepanga kufanya 123,Mara nyingi Machawa Kama wewe ndio mnamuwekea maneno mdomoni mara amemwaga mipesa sijui kaupiga,yeye anawacheki2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…