I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Kuna hili swala la yai na jogoo. Anyway ni swala la kijinga sana kujadili kitu kama hiki humu. Ila naamini kuna watu hata humu wanasema JOGOO AKIKUA NA KUKOMAA ANATAGA KAYAI ' KADOGO'.
Nilikuwa mahali nikasikia jamaa akaleta mada hii mezani. Kwa ufupi huyu jamaa nimeamua tu kumpa ushindi maana anabisha hadi kesho.
Heri ya pasaka kwenu nyote.
-> Kunywa kistaharabu, kesho nayo ni siku.
Nilikuwa mahali nikasikia jamaa akaleta mada hii mezani. Kwa ufupi huyu jamaa nimeamua tu kumpa ushindi maana anabisha hadi kesho.
Heri ya pasaka kwenu nyote.
-> Kunywa kistaharabu, kesho nayo ni siku.