Ukweli ni upi? Wanasema; eti, jogoo akikomaa anataga kayai kamojašŸ˜‚

Ukweli ni upi? Wanasema; eti, jogoo akikomaa anataga kayai kamojašŸ˜‚

Uongo mtupu babaake ukiuamini umeliwa..wengi wanachanganya hii habari..mara nyingi mtetea akiwa ndio anaanza kutaga huwa anasindikizwa na jogoo..eneo la kutagia na jogoo hua lina igiza ule mkao wa kutaga ili mtetea umfuatilize...lakini yao nila mtetea sio jogoo.

Kama hawaamini waweke majogoo peke yao huwezi ona hicho kitu maisha.

#MaendeleoHayanaChama
Wasaidie hawa vilaza
 
Nimewahi kushuhudia mara mbili jogoo wa kienyeji akitaga kayai kadogo Kama ka kware...... wanaume wa Dar msidhani huu miujiza Ni kawaida tu
 
Mkuu hii ni story ya kweli kabisa, ngoja tuendelee kutafuta yai tuweke picha hapa
Hakuna ukweli wowote,
Vile viyai vidogo vipo lakini vinatagwa na matetea sio Jogoo,
Usiweke yai,mpige picha Jogoo akiwa anataga ndio uweke hapa,kuweka kale kayai haitoshi kuthibitisha kwamba kametagwa na Jogoo.
 
Back
Top Bottom