I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Sio wanafikiri n kwel hio na nimeshuhudia m mwenyewe mara 3 akitaga hilo yai dogo anaashiria ukomo wake wa kuweza kuzalisha hawezi kuzalisha tena na hii inatokea kama umefuga jogoo kwa muda mrefu sana mpaka akazeekaKuna hili swala la yai na jogoo. Anyway ni swala la kijinga sana kujadili kitu kama hiki humu. Ila naamini kuna watu hata humu wanasema JOGOO AKIKUA NA KUKOMAA ANATAGA KAYAI ' KADOGO'.
Nilikuwa mahali nikasikia jamaa akaleta mada hii mezani. Kwa ufupi huyu jamaa nimeamua tu kumpa ushindi maana anabisha hadi kesho.
View attachment 2190867
Heri ya pasaka kwenu nyote.
-> Kunywa kistaharabu, kesho nayo ni siku.
Itakuwa yale machanjoโบโบโบโบHa ha haaaa
Me najua wale kuku wa nyama wa kisasaโฆ likishiba na kukomaa linaanza kutaga
Duh....nasubiri..Mkuu hii ni story ya kweli kabisa, ngoja tuendelee kutafuta yai tuweke picha hapa
Jogoo mzee kabisa anakuwa na umri ganiSio wanafikiri n kwel hio na nimeshuhudia m mwenyewe mara 3 akitaga hilo yai dogo anaashiria ukomo wake wa kuweza kuzalisha hawezi kuzalisha tena na hii inatokea kama umefuga jogoo kwa muda mrefu sana mpaka akazeeka
Kujua pia๐Jogoo mzee kabisa anakuwa na umri gani