Ukweli ni upi? Wanasema; eti, jogoo akikomaa anataga kayai kamoja😂

Wasaidie hawa vilaza
 
Nimewahi kushuhudia mara mbili jogoo wa kienyeji akitaga kayai kadogo Kama ka kware...... wanaume wa Dar msidhani huu miujiza Ni kawaida tu
 
Mkuu hii ni story ya kweli kabisa, ngoja tuendelee kutafuta yai tuweke picha hapa
Hakuna ukweli wowote,
Vile viyai vidogo vipo lakini vinatagwa na matetea sio Jogoo,
Usiweke yai,mpige picha Jogoo akiwa anataga ndio uweke hapa,kuweka kale kayai haitoshi kuthibitisha kwamba kametagwa na Jogoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…