Kuna uwezekano mkubwa hata ile ya watuhumiwa/mateka kufirwa pia huwa anasisitiza isisahaulike.Tanganyika imepatikana!Kwa kauli ya Samuya aliyoitoa ni dhahiri yeye ndio anatoa kauli watu, wanaompinga watekwe na kupotezwa.
Hizo zote ni cha motto, funga kazi ni uuaji! Unausahau vipi?!Rutto aligopa kumualika Mama kenya kuongelea refinery ya Tanga kwasababu aligopa atazomewa na vijana kenya na maandamano yangekuwepo. Lakini kwa akili yake ndogo haelewi kwasababu anaishi kwa kujidanganya danganya . Mama Samia kwasasa amekuwa na umashahuri wa utekaji, wizi wa kura, unyanyasaji na rushwa hauziki tena
Tena uuaji wenyewe ni ule wa..."nguvu iloyotumika si kubwa"...!Ni kama vile waliouwawa walipigwa mabusu hadi wakapata kizunguzungu na kufa.Hizo zote ni cha motto, funga kazi ni uuaji! Unausahau vipi?!
Kwani Maza alitaka kwenda kenya au alitaka kutaarifiwa kuhusu refinery kujengwa Tanga?..rais kupewa taarifa ni lazima aende kenya!?..hapa nani ana akili ndogo,Maza au wewe uliyeacha usingizi na kuandika shudu?Rutto aligopa kumualika Mama kenya kuongelea refinery ya Tanga kwasababu aligopa atazomewa na vijana kenya na maandamano yangekuwepo. Lakini kwa akili yake ndogo haelewi kwasababu anaishi kwa kujidanganya danganya . Mama Samia kwasasa amekuwa na umashahuri wa utekaji, wizi wa kura, unyanyasaji na rushwa hauziki tena
Ule mkong'oto ulikua mujarrab, hakuna mbwa atarudia tenaTena uuaji wenyewe ni ule wa..."nguvu iloyotumika si kubwa"...!Ni kama vile waliouwawa walipigwa mabusu hadi wakapata kizunguzungu na kufa.