Kuwa mzuri ni kitu kimoja, kutoboa ni kitu kingine, lazima ujipangeKama anakubalika na ni mzuri mbona hafiki huko walipo akina mond,,,, by the way mm ni fan wake nambari uno
Sasa kama Kassim ni Icon ya bongo je Diamond Platnumz baba tifah Dangote mtoto wa tandale young bilioner, icon ya africa mashariki na kati na mashariki ya mbali a.k.a Simba, Kifaru, atakuwa nani sasa?Katika wasanii wanaoujua mziki basi kassim ni wa kwanza,hajawahi kukosea,ni msanii ambae huchoki kumsikiliza,in short ni icon ya muziki wa bongo!!í ½í²¯í ½í²¯
Kama nimemuelewa ni icon kwa maana ya aina ya mziki anao imba hasa utumiaji wake maridhawa wa lugha yetu hadhim ya kiswahili, ikitokeaa unamsikiliza for the first time lazima utajua ni mswahili tena wa pwani, so kwa tafsiri hiyo ni icon.Sasa kama Kassim ni Icon ya bongo je Diamond Platnumz baba tifah Dangote mtoto wa tandale young bilioner, icon ya africa mashariki na kati na mashariki ya mbali a.k.a Simba, Kifaru, atakuwa nani sasa?
Kwani Bwanako Mond kafika wapi? Maana naona unajitahidi kuliziba jua kwa ungo, kwa tunaojua muziki hasa Muziki wenye mahadhi ya pwani Kasim huwez mfananisha na Mondi hata siku 1Kama anakubalika na ni mzuri mbona hafiki huko walipo akina mond,,,, by the way mm ni fan wake nambari uno
Atakua kidume chako!Sasa kama Kassim ni Icon ya bongo je Diamond Platnumz baba tifah Dangote mtoto wa tandale young bilioner, icon ya africa mashariki na kati na mashariki ya mbali a.k.a Simba, Kifaru, atakuwa nani sasa?
Teh teh njoo nikupeleke Hawaii ukale tende za bohariJamani Kassim ana sauti, na ana mashairi mengi romantic mno.
Aiseeeh bibie mbona umeenda mbali sana ungeniuliza kwann nimesema hivyo, na kwa kukuheshimu naomba ufute hiyo kauli sawa mama, sipo hapa kwa maneno ya kwenye kanga nipo kuyajenga, na nimesema mm ni fan no moja wa kassim kutokana na aina ya mziki wake, ila tatizo linakuwa wapi kuwepo sehemu alipo diamond ili hali yeye alimtangulia kwenye game..Kwani Bwanako Mond kafika wapi? Maana naona unajitahidi kuliziba jua kwa ungo, kwa tunaojua muziki hasa Muziki wenye mahadhi ya pwani Kasim huwez mfananisha na Mondi hata siku 1
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nina muda mrefu sijacheka.Kwani Bwanako Mond kafika wapi? Maana naona unajitahidi kuliziba jua kwa ungo, kwa tunaojua muziki hasa Muziki wenye mahadhi ya pwani Kasim huwez mfananisha na Mondi hata siku 1
Atakua kidume chako!
Tatizo lake Mwinyi mno yule Mdigo....ila kuhusu mziki wake jamaa ni mkali mno
Ubarkiwe Mawazo yako nayaheshimu sana Dada! Ndiyo maana kuna kitu kinaitwa Freedom Of Speech!!Atakua kidume chako!
Ok!!Kama nimemuelewa ni icon kwa maana ya aina ya mziki anao imba hasa utumiaji wake maridhawa wa lugha yetu hadhim ya kiswahili, ikitokeaa unamsikiliza for the first time lazima utajua ni mswahili tena wa pwani, so kwa tafsiri hiyo ni icon.