Ukweli tuuweke hapa kuhusu Kassim Mganga!

Ukweli tuuweke hapa kuhusu Kassim Mganga!

Mimi nilijua nimepata mupenzi hodari mwenye tamu kuzidi asali anayejua kupenda na kusitiri mamii

Kuongeza mwingine sidhani japo naruhusiwa na dini
Mazoea matamu usije niacha honey ....

Muache bana yule mpare sijui sogea hapa Lushoto
Haha na wewe una undugu na Kassim?
 
Aaah Awena sasa

Niliapa ukiondoka mpenzi, ntaondoka nawe
Sikuahidi kukufuta machozi, bali ntalia nawe
Ina maana hata kugeuka kunitazama hutaki Awena
Basi kama nakosa kwako nililofanya, nieleze Awena
Chozi langu la thamani unaliacha lianguke eeeh
Mti nilopanda zamani ina maana si chochote...........

Maneno matamu ulonipa chumbani, huku kichwa chako umelaza kifuani
Machozi yakikutiririka mashavuni
Kwamba hutoniacha mimi labda nitoweke duniani. ........
Huu kwangu ndio wimbo bora kabisa kutoka kwa Cassim Mganga.
Jamaa anajua kuimba jamani tuache utani.
 
Aaah Awena sasa

Niliapa ukiondoka mpenzi, ntaondoka nawe
Sikuahidi kukufuta machozi, bali ntalia nawe
Ina maana hata kugeuka kunitazama hutaki Awena
Basi kama nakosa kwako nililofanya, nieleze Awena
Chozi langu la thamani unaliacha lianguke eeeh
Mti nilopanda zamani ina maana si chochote...........

Maneno matamu ulonipa chumbani, huku kichwa chako umelaza kifuani
Machozi yakikutiririka mashavuni
Kwamba hutoniacha mimi labda nitoweke duniani. ........
Kichwa kinaniuma kwa ajili ya Mawazo,Na wewe ndo Dawa yanguu
Tazama mwili wangu unavyodhoofika, na wewe ndo chakula changuu .......
 
SUBIRA...
wasikitika usije kuvunja shingo iyo mama
na uko kusononeka usije ita mapaka leo wakaja kukuparula
ukapoteza uzuri wako na ukija ukiolewa
usipendeze kwa mume wako ooh aiya iya iya aaa

na ujichunge saana
maana, utajichakaza
na uepuke sana ujana
maana utakuchakaza
subira subira yako maiyo
ipo mikononi mwake mola baba
subiri subira yako mamito
ije mikonon mwako mafungu saba
anaetoa ni mola pekee yeye
kwa kila goti na dua anajibu yeye

usije itaka harusi kwa pupaa
usije itaka harusi ukarud na talaka
usikimbilie mume ukaukondesha moyo
usikimbilie mume ukaukondesha moyo x 2
Huu wimbo umenipa funzo kubwa sana maishani.
[emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
Haha
Haiwezekani niakuache wewe
Unayenipendeza niende kwa mwingine

Kidogo chetu mimi na wewe
Kikubwa cha barabuuu
Mali zao zisifanye upagawe
Kuniweka roho juu .....

Sikiza sweet nikuelezeee yamoyoni nikutoe wasiwasiiii
Sikiliza kipenzi mwenye sura ya upoleee nibembelezee ili nisiwe na wasi
sikiliza kisuraa mwenye sifa ya upolee mwenye mapenzi hi hiii ya kweli kwangu
Kama shida mamy bas vumilia shida wewe
Kama njaa wote tutashinda mamaa
 
Aaah Awena sasa

Niliapa ukiondoka mpenzi, ntaondoka nawe
Sikuahidi kukufuta machozi, bali ntalia nawe
Ina maana hata kugeuka kunitazama hutaki Awena
Basi kama nakosa kwako nililofanya, nieleze Awena
Chozi langu la thamani unaliacha lianguke eeeh
Mti nilopanda zamani ina maana si chochote...........

Maneno matamu ulonipa chumbani, huku kichwa chako umelaza kifuani
Machozi yakikutiririka mashavuni
Kwamba hutoniacha mimi labda nitoweke duniani. ........
hebu ngoja kwanza,wewe sio nanihii wangu wa zamani ambae tulikua tunaupenda sana huu wimbo?smtm ulikua unatoa na machoz ukiusikiliza!!
 
Naomba kuweka ukweli wa fikra zangu za dhati mbele ya kadamnasi.....

Kizazi hiki cha sasa kimebakiwa na watunzi wa muziki mahiri wawili tuu.
1÷Q chilla
2÷kassim mganga.
Chilla ni zaidi ya wote maana huko versatile...anapita na kila style na pia ana msg nzito kwenye nyimbo zake.
Kaasim ni mtaalam wa tungo za mwambao na hasa zenye ujumbe wa mahabat...
Swali la kwann hawatoboi....mara nyingi hata vipanga darasani huwa hawatoboi kimaisha na wanaishia kuajiriwa na vilaza. Ila kutokutoboa kwao haiwafanyi kutakuwa mabingwa na mahiri katika idara zao....
Tuweke ushabiki pembeni nyie timu wcb na timu king kiba leteni tungo za wasanii wenu zenye kuweza kushindana na tungo za chilla au mganga.
 
Naomba kuweka ukweli wa fikra zangu za dhati mbele ya kadamnasi.....

Kizazi hiki cha sasa kimebakiwa na watunzi wa muziki mahiri wawili tuu.
1÷Q chilla
2÷kassim mganga.
Chilla ni zaidi ya wote maana huko versatile...anapita na kila style na pia ana msg nzito kwenye nyimbo zake.
Kaasim ni mtaalam wa tungo za mwambao na hasa zenye ujumbe wa mahabat...
Swali la kwann hawatoboi....mara nyingi hata vipanga darasani huwa hawatoboi kimaisha na wanaishia kuajiriwa na ******. Ila kutokutoboa kwao haiwafanyi kutakuwa mabingwa na mahiri katika idara zao....
Tuweke ushabiki pembeni nyie timu wcb na timu king kiba leteni tungo za wasanii wenu zenye kuweza kushindana na tungo za chilla au mganga.
Kwenye hiyo list Barnaba hayupo kweli?
 
Siwez kusahau wimbo wake unaitwa awena... Siwezz kukufuta machoz bali ntalia nawe..
 
Back
Top Bottom