Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Najua ushaumizwa mengi sana, ushakutana na ma-heart breaker,Kama huu wimbo wake mpya jamani kajamaa kameimba vizuri sana aiseee
Ila sio mimi, I am a good boy.
Walishazichezea hisia zako mpenzi wangu,
mwisho wa siku wakakuacha ukilia
Mapenzi ukayachukia,
ila sio mimi....;I am a good boy, I am a good boy.....