Ukweli tuuweke hapa kuhusu Kassim Mganga!

Ukweli tuuweke hapa kuhusu Kassim Mganga!

Jamaa anajua sana nyimbo zake ni nzuri sema tatizo nyota akienda kuomba usajili wasafi atatakata tu!
 
Kassim anajua sana...sanaaaa!
Kwa nyimbo za mahaba hafai huyu mtu.
Moja kati ya nyimbo zake nizipendazo ni Usiende kwa mganga.
Eeeh bwana,anavyoimba taratibu...na ile video walivyoweza kuuvaa uhusika acha kabisa.

Shkamoo Kassim [emoji119]
Usije itaka harusi kwa pupaa, usije itaka harusi ukarudi na talakaa
Ukitaka kujifunza kutamka maneno bila kukandamiza, maneno lainii -basi msikilize Kasim Mganga Mdigo yule anajua japo U Mwinyi unamponza sana
 
Kassim anajua sana...sanaaaa!
Kwa nyimbo za mahaba hafai huyu mtu.
Moja kati ya nyimbo zake nizipendazo ni Usiende kwa mganga.
Eeeh bwana,anavyoimba taratibu...na ile video walivyoweza kuuvaa uhusika acha kabisa.

Shkamoo Kassim [emoji119]
He he he acha kabisa

Wanaosema asali ni tamu kuliko mapenzi, kuliko mapenzi nakataa,
Wanaosema asali inazidi utamu kuliko kupendwa, nakataa
 
Ubarkiwe Mawazo yako nayaheshimu sana Dada! Ndiyo maana kuna kitu kinaitwa Freedom Of Speech!!
Kwan na wewe si ume offer free speech!! Cha ajabu nn hapo! Sitaki heshima yako ya korosho
 
ameanzia pwani, ananawiri pwani na ataishia pwani.

ajiongeze, dunia kubwa hii usimwone linex mjinga kuchanganya lugha 3 wimbo mmoja, ni njia anaitafuta ya kutoboa
 
Unajua ukipitia coment humu utajua ni kwanini wasanii huwa mwisho wa siku wanapotea!
 
Aiseeeh bibie mbona umeenda mbali sana ungeniuliza kwann nimesema hivyo, na kwa kukuheshimu naomba ufute hiyo kauli sawa mama, sipo hapa kwa maneno ya kwenye kanga nipo kuyajenga, na nimesema mm ni fan no moja wa kassim kutokana na aina ya mziki wake, ila tatizo linakuwa wapi kuwepo sehemu alipo diamond ili hali yeye alimtangulia kwenye game..

Kwq kutunziana heshima na0mba uombe msamaha kwa ulichokiandika hapo.
Huwez kuliziba jua kwa ungo, usitupambanishie kasim wetu na wabana pua wa kigoma, watu wa pwani hatupo hivyo! Eti shabiki mkubwa wa Kasim hahaha tunaomulelea huwa hatuko hivyo kama wewe
 
Anajua sana .
Subira ndo wimbo bora wa mwaka according to my concern
 
namuheshimu cassim kwa maana ana tungo nzur sana na mashairi yake kama unamwambia mtoto wa kike walah achomoi (unaongeza na muamala kabisa)
ila sasa tatzo "boss kamganda dangote kaisahauuuuuuuu...............
 
wekeni umond wenu pembeni kassim anajua nyimbo zake acha tu labda tuseme ni nyota au vp
Aaah Awena sasa

Niliapa ukiondoka mpenzi, ntaondoka nawe
Sikuahidi kukufuta machozi, bali ntalia nawe
Ina maana hata kugeuka kunitazama hutaki Awena
Basi kama nakosa kwako nililofanya, nieleze Awena
Chozi langu la thamani unaliacha lianguke eeeh
Mti nilopanda zamani ina maana si chochote...........

Maneno matamu ulonipa chumbani, huku kichwa chako umelaza kifuani
Machozi yakikutiririka mashavuni
Kwamba hutoniacha mimi labda nitoweke duniani. ........
 
Huwez kuliziba jua kwa ungo, usitupambanishie kasim wetu na wabana pua wa kigoma, watu wa pwani hatupo hivyo! Eti shabiki mkubwa wa Kasim hahaha tunaomulelea huwa hatuko hivyo kama wewe
Ungenieleza kistaarabu sio kwa kunitusi mama, ningekuelewa mbona mie niliandika bila matusi
 
namuheshimu cassim kwa maana ana tungo nzur sana na mashairi yake kama unamwambia mtoto wa kike walah achomoi (unaongeza na muamala kabisa)
ila sasa tatzo "boss kamganda dangote kaisahauuuuuuuu...............
Umenichekesha sana...eti ukiongeza na muamala
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sure...lazima anase.
 
Ungenieleza kistaarabu sio kwa kunitusi mama, ningekuelewa mbona mie niliandika bila matusi
Karibu Pwani upate maji ya madafu, na mengine upeleke Tandale yakawatoe mabusha
 
Aaah Awena sasa

Niliapa ukiondoka mpenzi, ntaondoka nawe
Sikuahidi kukufuta machozi, bali ntalia nawe
Ina maana hata kugeuka kunitazama hutaki Awena
Basi kama nakosa kwako nililofanya, nieleze Awena
Chozi langu la thamani unaliacha lianguke eeeh
Mti nilopanda zamani ina maana si chochote...........

Maneno matamu ulonipa chumbani, huku kichwa chako umelaza kifuani
Machozi yakikutiririka mashavuni
Kwamba hutoniacha mimi labda nitoweke duniani. ........
uwiiii acha tu uyo mtu jamaan
 
SUBIRA...
wasikitika usije kuvunja shingo iyo mama
na uko kusononeka usije ita mapaka leo wakaja kukuparula
ukapoteza uzuri wako na ukija ukiolewa
usipendeze kwa mume wako ooh aiya iya iya aaa

na ujichunge saana
maana, utajichakaza
na uepuke sana ujana
maana utakuchakaza
subira subira yako maiyo
ipo mikononi mwake mola baba
subiri subira yako mamito
ije mikonon mwako mafungu saba
anaetoa ni mola pekee yeye
kwa kila goti na dua anajibu yeye

usije itaka harusi kwa pupaa
usije itaka harusi ukarud na talaka
usikimbilie mume ukaukondesha moyo
usikimbilie mume ukaukondesha moyo x 2
 
Huyu mtu ni msanii wa kipekee katika muziki. Ningekua mimi nadhani ile tuzo ya mtunzi bora kila mwaka ningempa yeyw. Ila tatizo sanaa ya muziki imekua biashara hivyo anazidiwa na wajuao kufanya biashara.
 
Back
Top Bottom