UmepoteaAtakua kidume chako!
Me/ke???Sasa kama Kassim ni Icon ya bongo je Diamond Platnumz baba tifah Dangote mtoto wa tandale young bilioner, icon ya africa mashariki na kati na mashariki ya mbali a.k.a Simba, Kifaru, atakuwa nani sasa?
hicho kitu nuxi..google tu mzee baba kimejaa telenatafuta audio ya kassim mganga wimbo sijali
baba nakutana na video tuhicho kitu nuxi..google tu mzee baba kimejaa tele
Tatizo huyu dogo ana mashauzi sana na ukale ukale flan hivi nadhani ni athari za UTanga(udigo),but kuimba anajua tang enzi zile za Aweza na Haiwezekani hajawahi kukoseaHabari zenu wakuu!
Nimefikiria kitu kuhusu huyu jamaa, katika tasnia ya mziki hapa Tanzania! Huyu jamaa yupo vizuri, ukisikiliza nyimbo zake kuna tungo nzuri kwa lugha yetu ya kiswahili fasaha pasipo kuchanganya lugha za kigeni, pia ana mashairi yaliyotulia pasipo kuwa na matusi au misamiati ya kipuuzi!
Hakika jamaa anatisha sana kuliko hata hawa 'waramba midomo' wa sasa.
Ongeza ulichoona kutoka kwa huyu jamaa!
Ni wimbo wa kasimu, Ft BellaHivi waga ana wimbo na christian bella? Kuna wimbo bella kashirikishwa na mtu ana sauti kama kassim mganga...imetulia sana
baba nakutana na video tu
Sasa kama Kassim ni Icon ya bongo je Diamond Platnumz baba tifah Dangote mtoto wa tandale young bilioner, icon ya africa mashariki na kati na mashariki ya mbali a.k.a Simba, Kifaru, atakuwa nani sasa?
Swali zuri sanaMe/ke???