Ukweli uliofichika kwa Dunia ya Leo

Kafa kivipi tena
 
Nb: Hivyo wanawake hamasisheni ndoa za halali ambayo ndo maagizo ya Mungu ili tuwape heshima yenu na si mila za Kizungu za Uzinifu/ mahusiano ( boyfriend na girlfriend).
binafsi nimekuelewa vizuri na nitalifanyia kazi
 
Siku hizi uzinzi umehalalishwa Sana kwa kizazi hiki ni hatari Sana watu wanafanya uzizi kuliko na wako proudly kabisa na wanajionaa wajanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtanyukana sana. Ila mm naamini kabisa kuna binadamu wanaindesha hii dunia, nao ni wazungu wenye fedha zao. Wakisema hii ni nyeusi wakati inaonekana kabisa ni nyeupe basi watatumia gharama yoyote kuiaminisha dunia hivyo. Sasa mtachagua muamini au mgawike maana lazima wasepe na kijiji.

Dunia inakadiriwa kuwa na miaka 14 billion na watu 8 billion. Kila mtu apambane na afanye kwa kadri anavyoona ni sawa. Hatuwezi kuwa sawa na kuwa na imani sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…