Kacute sana. Halafu mambo na vituko vyake vyaniacha hoi
Kacute sana. Halafu mambo na vituko vyake vyaniacha hoi
Sifa zimemzid diamond he is no longer humble anatukana anapost vijembe kwa mashabik zake ht paspokuwa na umuhimu
Sifa zimemzid diamond he is no longer humble anatukana anapost vijembe kwa mashabik zake ht paspokuwa na umuhimu
Hater
Mtoto kasemwa tangu yupo tumboni kwa mama yake. Saiv hamna jipya kwakweliToto zuri,maisha safi ila haters hawaoni hilo wao wanaendeshwa na chuki tu hata kwa malaika asiyefahamu bifu ni nn
Wewe mgeni wa diamond kuhusu kupost vijembe. Hajaanza janaSifa zimemzid diamond he is no longer humble anatukana anapost vijembe kwa mashabik zake ht paspokuwa na umuhimu
Wewe mgeni wa diamond kuhusu kupost vijembe. Hajaanza jana
Hamna cha malipo yoyote hapo. Mnamsema akiwajibu ndo mnaona kuna malipo.Ndo malipo yake sasa hayo for sure anaturnish image yake mbele ya jamii maana sasa hv ilbid akimbizane na mastaa wa kimataifa sio kufanya mambo local
Hivi kumpaka mtoto makeup inakubalika?
Huo ndo uhalisia D sifa zitampoteza me ni fani ake since way back bt cku hiz ht instagram naona ananichefua interview anaongea utumbo mtu anaekuja juu ni harmonize yuko humble diamond km more of muswahil cku hiz
Kakulia tandale,mswahili toka zamani. Kubali tu wewe ni hater
Na ww kubal ni mfuasi wake....ila usisahau uzi ukija au ikibandikwa huki kwa great thinkers lazima tutoe viewz zeti reagardless of what so usitembelee saaana mawazo yangu toa yako kwann imaarufu wa dogo umeshuka au sema km haujashuka sema pia