Ukweli: Umaarufu wa Mtoto wa Diamond ( Tiffah) Umeporomoka

Yeah ni shabiki wake fatilia threads zangu utaona,tatizo ameongelea tiffa wewe umemkurupukia baba mtu hizo ni chuki mbaya halafu ukajibatiza ati ni shabik wake tangu zaman aisee

Tulia ww jenga hoja zilizo rational umaarufua wa tifah uwez useparate na baba yake maana ht huo umaarufu kaupata coz ya baba yake na anapoharibu baba lazima dogo aporomoke
 
Kama mnakumbuka ilifika hatua Diamond akatamba kwenye vyombo vya habari kuwa Mtoto wake ndiye anayeongoza kupata sjui ndio viewers sjui ndio followers. Ilifika hatua hata kumuona inabidi watu walipie hela. Leo hii amepotea hata utafikiri hayupo

Na hata Leo no birthday Yake lakini hata haijulikani na hakuna mbwembwe kama enzi zile

Kweli watu hawapendi ujinga!!!!
Pambana na hali yako mleta mada .

Wewe binti yako amefikisha hata followers 10K IG?
 
Kama mnakumbuka ilifika hatua Diamond akatamba kwenye vyombo vya habari kuwa Mtoto wake ndiye anayeongoza kupata sjui ndio viewers sjui ndio followers. Ilifika hatua hata kumuona inabidi watu walipie hela. Leo hii amepotea hata utafikiri hayupo

Na hata Leo no birthday Yake lakini hata haijulikani na hakuna mbwembwe kama enzi zile

Kweli watu hawapendi ujinga!!!!
Wivu mtupu, ndio maana uendelei, roho mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata akinya lazma ukazitafute news zake afu eti life style yake wameshaichokaa hahahahaa ..kinyesi brain.

Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima kitu cha bure.
Halafu unavoishi wewe sivyo sote tuishivyo, kwahyo usidhani kama na sisi tunashindaga IG au FB kutafuta baba latifa kafanya nini, hatutafutagi drama. tunatazama mziki mzuri kwa sababu hauepukiki.
nakutakia jioni njema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hata wewe wa kusema maneno haya?
Hahaha afu mimi ni shabiki mzuri wa diamond.
Ila huwaga napenda kuona ana focus katika mziki zaidi.
kwasasa amefocus katika drama zaidi
mm kama fan wake nmejikuta napunguza kumfagilia kiivyo..
kwasababu mm binafsi sipendelei drama napenda kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mnakumbuka ilifika hatua Diamond akatamba kwenye vyombo vya habari kuwa Mtoto wake ndiye anayeongoza kupata sjui ndio viewers sjui ndio followers. Ilifika hatua hata kumuona inabidi watu walipie hela. Leo hii amepotea hata utafikiri hayupo

Na hata Leo no birthday Yake lakini hata haijulikani na hakuna mbwembwe kama enzi zile

Kweli watu hawapendi ujinga!!!!

Hivi unajitambua kweli wewe?
 
Aisee una wivu mkali sana kwa mtoto
Tulia ww jenga hoja zilizo rational umaarufua wa tifah uwez useparate na baba yake maana ht huo umaarufu kaupata coz ya baba yake na anapoharibu baba lazima dogo aporomoke
 
Heshima kitu cha bure.
Halafu unavoishi wewe sivyo sote tuishivyo, kwahyo usidhani kama na sisi tunashindaga IG au FB kutafuta baba latifa kafanya nini, hatutafutagi drama. tunatazama mziki mzuri kwa sababu hauepukiki.
nakutakia jioni njema

Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu huyu jama akili zake zitakua na usadani mwake anafikiri kila mtu yuko tu kumuwaza Tiffa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In another news, I have to work 5 days a week in order to survive. Life sucks
 
Back
Top Bottom