Ukweli: Umaarufu wa Mtoto wa Diamond ( Tiffah) Umeporomoka

word...
 
Ndio anaongoza ana vie 1.3 mil hata hao wasanii wengne hawana angalia usije jifia kwa chuki.
 
Ya nini amfanyie kila siku kwani ni wake??

Labda unambie kuwa mtoto wa mwenzio wako
 
Tanzania_boy amechukua nafasi yake.Habari siyo tiffah tena ni tanzanian_boy ambaye kwa tetesi ni mdogowake na Tiffah&Nillan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…