Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 1,271
- 1,604
Bado hujanishawishi usiwe kama CCM, upinzani umefutikaje wakati hamasa imeongezeka kwa kupitia picha zako?Mkuu upinzani umefutika tunasubiri October tuzike View attachment 1567984
Chadema ya dr slaa haikuwahi kusomba watu kama hii ya lissu
Kama kusomba watu ni dalili ya kufutika basi CCM nizaid ya kufutikaMkuu upinzani umefutika tunasubiri October tuzike View attachment 1567984
Chadema ya dr slaa haikuwahi kusomba watu kama hii ya lissu
Subiri tarehe 28 Oct!Kabla kampeni hazijaanza tuliaminishwa na mimi nikaamini kuwa upinzani Tanzania umefutika kabisa...
Leo Zanzibar naona imevamiwa na wabongo kutoka ukerewa kuja kumsindikiza mwinyi ktk ufunguzi wa mkutano wao kama wataka ushahidi kaamili kesho kaa posta mida ya saa 3 utawaona wanashuka boatWanasombwa na malori
Kwenye suala la idadi tusidanganye. Ccm ina asilimia kubwa bado ya kutawala, hakuna sababu ya kudanganya maana kwa technology ya Leo njano inaonekana ni njano na nyeupe ni nyeupe. Ww unasema hawana watu wakati video zimesambaa zikionyesha watu.Ccm inawanachama wengi lazima wapande gari
Chadema wanachama wachache na bado mnatumia gharama kusomba