Uchaguzi 2020 Ukweli umejulikana sasa

Uchaguzi 2020 Ukweli umejulikana sasa

Administer

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
1,271
Reaction score
1,604
Kabla kampeni hazijaanza tuliaminishwa na mimi nikaamini kuwa upinzani Tanzania umefutika kabisa.

Habari ya mjini ilikuwa CCM au Magu, kila ukigeuka kushoto, kulia, nyuma au mbele ni CCM au Magu. Baada ya kampeni kuanza upepo umebadilika kabisa.

Sikutarajia watu kushabikia na kuhudhuria mikutano ya Upinzani kwa wingi huu.

Nimeamini kuuondoa upinzani hakuhitaji ubabe, kujisifu umefanya kile, kuwazuia kuongea na kadhalika.

Dawa ya kuwaondoa wapinzani ni CCM kushawishi wananchi na si kuwalazimisha kuipenda CCM
 
Oktoba siyo mbali utarudi hapa kulia kuibiwa
 
Hakika mada hii ni moto yenye maneno ya nguvu.

Magufuli mwenyewe hawezi kuamini kama ni yeye maana wasaidizi na wapambe wake walimlisha matango Pori kuwa anapendwa kumbe ni uongo na anazidi kujionea jinsi watanzania tulivyoichoka CCM
 
119178995_198652328282550_2480959954329160437_o.jpg
 
Mh!! Hawa walikosea masharti ona sasa dude limefufuka kama zombi vile!
 
Ccm inawanachama wengi lazima wapande gari
Chadema wanachama wachache na bado mnatumia gharama kusomba
Kwenye suala la idadi tusidanganye. Ccm ina asilimia kubwa bado ya kutawala, hakuna sababu ya kudanganya maana kwa technology ya Leo njano inaonekana ni njano na nyeupe ni nyeupe. Ww unasema hawana watu wakati video zimesambaa zikionyesha watu.
 
Back
Top Bottom