Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 1,271
- 1,604
Kabla kampeni hazijaanza tuliaminishwa na mimi nikaamini kuwa upinzani Tanzania umefutika kabisa.
Habari ya mjini ilikuwa CCM au Magu, kila ukigeuka kushoto, kulia, nyuma au mbele ni CCM au Magu. Baada ya kampeni kuanza upepo umebadilika kabisa.
Sikutarajia watu kushabikia na kuhudhuria mikutano ya Upinzani kwa wingi huu.
Nimeamini kuuondoa upinzani hakuhitaji ubabe, kujisifu umefanya kile, kuwazuia kuongea na kadhalika.
Dawa ya kuwaondoa wapinzani ni CCM kushawishi wananchi na si kuwalazimisha kuipenda CCM