Lakini wanaume wanakuaga wakorofi kipindi wakiwa nazo.Unakuta kazee kamepanga hata geto kanaishi kenyewe kumbe kametengwa, wanaume tunapitia mengi,watoto huamishia upendo wote kwa Mama yao. Ndo maana kuna wazee wajanja wanajenga nyumba nyingine kisirisiri vitimbi vikianza anaenda kwenye nyumba yake nyingine maana hizo ni dakika za lala salama.
Basi tambua mimi ni mmoja wmya watu ambao Nitakuwa na ww bampa tu bampa kuanzia sasa... Nimeona kitu kutoka kwakoSitaki mtu anijue π π
Kwa nini?Sikushauri π
Castle_Lite angalia na hii real mummy amelike.Tatizo kuna watu hawana hata hizo zao za kuchanganyia na walizo ambiwa ili waujue ukweli.