baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Ukweli siku zote una speed ya kobe lakini haujawai kushindwa kufika mwisho wa safari. Ndivyo ilivyo kwa utawala wa awamu ya 6 wanatundanya na kutuona labda hatuna akili lakini kuna siku ukweli utakua wazi na Uongo wao wote utapeperushwa na upepo.
Ukweli una tabia moja hata ukiufukia na ukauzika kuna siku utakuja kufufuka na kuacha umekutia aibu ni suala la Mda aya mambo yote ambayo wanatofanyia gizani kuna siku yatakua wazi na watu kuishia kuaibika.