ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Mimi siwezi kukuteka na hata nikikuteka siwezi kukumiza 😂😂Una roho mbaya kwanini 7/7🤣🤣🤣 unataka kuniteka
Mimi siwezi kukuteka na hata nikikuteka siwezi kukumiza 😂😂Una roho mbaya kwanini 7/7🤣🤣🤣 unataka kuniteka
Aisee uoga wako umaskini wakoNaogopa kupigwa 🤣🤣🤣
Sikujua wanaume wanaogopa wanawake au wewe ndio wa kwanza
Yes ikiwa on kuna watu wasumbufu sanaPM yako imefungwa
Ooh kama ni hivyo 7/7 usije endelea kujitunzaMimi bado mtoto mdogo bikira 🤣🤣
Mashetani hawana loloteWasumbufu wanataka tunda kujilia 🤣🤣🤣
Sina matunda ya kugawa JF tupo kwenye hii forum kwa mambo mengi ya kijamii zaidi kisiasa na mengineoWape tunda wale vitu vyenyewe mmepewa bure
Sana ungekua karibu ningekugonga konziiUmechukulia serious umeandika unaonekana uko serious kweli 🤣🤣🤣
ShenziiiiNimeona ulivyokua umefura sana but jockes napenda sana masihara
Umenuna tena 🥲Nashukuru sana 🙏🙏