Gentleman,Ukweli siku zote una speed ya kobe lakini haujawai kushindwa kufika mwisho wa safari. Ndivyo ilivyo kwa utawala wa awamu ya 6 wanatundanya na kutuona landa hatuna akili lakini kuna siku ukweli utakua wazi na Uongo wao wote utapeperushwa na upepo. Ukweli una tabia moja hata ukiufukia na ukauzika kuna siku utakuja kufufuka na kuacha umekutia aibu ni suala la Mda aya mambo yote ambayo wanatofanyia gizani kuna siku yatakua wazi na watu kuishia kuaibika.
Karibu 77 nikunulilie unachotakaWe kaa mkao wa kula wala hata usiwaze
Hunipendi hata hukunitafuta 😢Umepotelea wapi sikuoni?
porojo zipi gentleman, mbona kama unauogopa ukweli ?Gentleman,
porojo zingine ni useless na nonsense kweli kweli aise dah!
gentleman,porojo zipi gentleman, mbona uzi hautaja wala kuattack mtu na chama chochote ?
kwamba kudhihirika kwa ukweli ni porojo? duh!gentleman,
kwani maoni yangu yanakera?
but hayo ndio maoni yangu huru dhidi ya porojo hiyo nonsense jukwaani
athari na majuto ya maamuzi ya hovyo ya mwanadamu kwa siku zilizopita,kwamba kudhihirika kwa ukweli ni porojo? duh!
maamuzi ya hovyo watu kuandamana kudai haki zao sio? all in all time will talk and the truth will prove it !athari na majuto ya maamuzi ya hovyo ya mwanadamu kwa siku zilizopita
you are now coming very direct to expose yourselves on what makes you to be like you are now 🤣maamuzi ya hovyo watu kuandamana kudai haki zao sio, all in all time will talk and the truth will prove it !
so kureply ...truth will prove it ndo najiexpose directly to u, nadhani unakula mabange, anyway let say u are right gentleman !you are now coming very direct to expose yourselves