Ukweli unaofichwa : Watanzania wamegawanyika mno kuhusu Taifa Stars

Wajasiriasiasa ndo mmegawanyika mnataka kutuaminisha wote ndo tumegawanyika.
 
Hizo lugha zako na tuhuma zako za kishamba haziniumizi kichwa , uzi wangu umejieleza wazi kabisa , bali inafahamika kwamba kwa yeyote kudhani ni yeye ni raia bora kuliko wengine ni ugonjwa wa akili
Subiri wanaJF amalize vipimo vyao...watuajua ukweli uko wapi wakishapata matokeo kama we have our statehood real enemy or just a rouge priced citizen. 😡
 
Subiri wanaJF amalize vipimo vyao...watuajua ukweli uko wapi wakishapata matokeo kama we have our statehood real enemy or just a rouge priced citizen. 😡
Vitisho na uchawi ndio njia pekee ya kujihami kwa kapuku aliyezidiwa hoja , endelea kunifuatilia binafsi lakini kuwa mwangalifu mno usije kumlilia mtu
 
Mda utafika tu
 
Alipoenda Liquid watu walikuwa pamoja na tukala mbili bila
Kaenda gavana watu wametawanyika na tunawapiga Kenya mbili moja
 
Kenya imepeleka wachezaji au mchezaji maarufu wa zamani kutoa hamasa. Sisi wameenda wanasiasa kula perdiems za walipa kodi.
Tofauti hiyo itatoa jibu uwanjani.
hii ndio tofauti yetu na wao !
 
Naiombea ishinde leo. Iwatandike hao wengine 3 bila nione atakavyofurahi Poletaratibu. Uganda tuliwaonesha kuwa sisi tunaenenda kama ahadi ya chama inavyosema. Leo tutadhihirisha kuwa "Hatuku bebwa" na Uganda bali tunastahili kuwepo Misri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…