Ukweli unaofichwa : Watanzania wamegawanyika mno kuhusu Taifa Stars

Ukweli unaofichwa : Watanzania wamegawanyika mno kuhusu Taifa Stars

Tusipofungwa itakuwa huzuni nchi nzima.
Nchi imeshagawanyika hii kila mtu hapangiwi kushabikia timu yoyote. Ukisijikia unashabikia timu yoyote. Unapotengeneza maadui kuanzia Kwenye siasa, ajira n.k usitegemee kuna mtu ataipenda hii nchi. Hapa nina watu kama 10 wote wanaishabikia Kenya. Usiniulize ni kwanini ila ujue kuna shida mahala tena kubwa. Ukiona mwanao uliyemzaa anakuchukia usianze kumpiga ila chunguza nini sababu
 
Nilipoisoma hii leo mchana nikasema ama kweli mchawi wa soka la bongo sio wachezaji ni wanasiasa....wanataka umaarufu wa kipuuzi wakati mpira unaitaji investments kuanzia level za juu mpaka chini. Honestly najua tukifanya vibaya haya mashindano itakua chachu ya kufanya vizuri miaka ya baadae baaada ya kujitathimini na kuamua kuwekeza kwenye mpira wa vijana na academy kuliko kutaka mafanakio ya pupa.
 
Poleni wazalendo wote tunaoyubishwa na wanasiasa uchwara hao
Ni UJINGA kukubali kuyumbishwa na mwanasiasa au siasa.taifa letu linataendelea kuwepo pasipo siasa au wanasiasa. naiombea timu yangu ishinde.
 
Kwa Tafsiri halali maana halisi ya uzalendo ni pamoja na kuongea ukweli ( Nitasema kweli daima fitna kwangu mwiko ) , mficha maradhi mauti humuumbua , nimeanza na hili la uzalendo maana limetumika sana na mamluki ili kufifisha mijadala yenye tija , Uzalendo siyo Uzuzu au ubwege , uzalendo ni pamoja na kuhoji mambo mazuri au mabaya yanayoonekana kwenye jamii yetu , kuwa mzalendo haimaanishi kwamba wewe ni ndondocha uliyeng'olewa ubongo , ni lazima ifahamike humu jf na kwingineko kwamba kuhoji si kosa .

Ni dhahiri Watanzamia wamegawanyika kabisa kuhusiana na timu yao na mpaka sasa Haijafahamika sababu hasa ya watanzania kugawanyika kiasi hiki , uchunguzi wangu umebaini kwamba wanaoishangilia ni wachache mno kuliko wanaozomea , huo ndio ukweli ambao baadhi ya watu wanataka ufichwe , ni vema wadau wakajiuliza hali hii inatokana na nini , kujua sababu za hili ni nusu ya jawabu , toeni madukuduku yenu , sababu hasa ya kuitosa timu yenu ni nini ?

kuna taifa star ya makonda,taifa star ya wabunge ndio washangiliaji,taifa star ya simba na yanga,taifa star ya jf na redio za kelele na taifa star ambao hatujui kinacho endelea.
 
CCM na team yao...mamaeeee zao!

Siku team inakua ya Taifa la Tanzania na watu wake ndio nitaisapoti!

Otherwise Bashite can eat his msambwanda for breakfast,lunch and dinner!

Fvck em all!
 
Kwa Tafsiri halali maana halisi ya uzalendo ni pamoja na kuongea ukweli ( Nitasema kweli daima fitna kwangu mwiko ) , mficha maradhi mauti humuumbua , nimeanza na hili la uzalendo maana limetumika sana na mamluki ili kufifisha mijadala yenye tija , Uzalendo siyo Uzuzu au ubwege , uzalendo ni pamoja na kuhoji mambo mazuri au mabaya yanayoonekana kwenye jamii yetu , kuwa mzalendo haimaanishi kwamba wewe ni ndondocha uliyeng'olewa ubongo , ni lazima ifahamike humu jf na kwingineko kwamba kuhoji si kosa .

Ni dhahiri Watanzamia wamegawanyika kabisa kuhusiana na timu yao na mpaka sasa Haijafahamika sababu hasa ya watanzania kugawanyika kiasi hiki , uchunguzi wangu umebaini kwamba wanaoishangilia ni wachache mno kuliko wanaozomea , huo ndio ukweli ambao baadhi ya watu wanataka ufichwe , ni vema wadau wakajiuliza hali hii inatokana na nini , kujua sababu za hili ni nusu ya jawabu , toeni madukuduku yenu , sababu hasa ya kuitosa timu yenu ni nini ?
"Tupeni raha Harambee, tupeni raha ayee"
 
Amkeniii amkeniii bwanaaa CCM stars wamefungwa tena bwanaa uuuuuu hahaha
 
Nimeuelewa sana! Ni muendelezo wa nyuzi nyingi kutoka kwa vijana wa chadema kuombea mabaya stars
Sijawahi hata siku moja kujiingiza kwenye malumbano ya kisiasa lakini ngoja leo na mimi nichangie hapa. Ikiwa mkuu unaamini toka moyoni kabisa hiki ulichokiandika, basi Tanzania tuka matatizo makubwa kuliko haya tunayoyaona
 
Back
Top Bottom