Ukweli Unaouma. Kuhonga sio ticket ya kupendwa, wanaume acheni kujipa moyo

Ukweli Unaouma. Kuhonga sio ticket ya kupendwa, wanaume acheni kujipa moyo

yuda75

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
520
Reaction score
1,385
Jamani tuongee ukweli, kuhonga hakuongezi kupendwa palipo penzi la dhati. Penzi la muda mfupi au la siku moja kuhonga kutaweza kukusaidia lakini kwa mwanamke au mwanaume anayekupenda haihitaji kuhonga. Hii sio kwa wanaume tu hata wanawake wanaohonga.
Kwa uzoefu wangu huu penzi la kweli halipatikani kwa kuhonga bali kuridhiana na kupendana.

Utakuta Mwanaume anajisifia yule demu kaoza kwangu achomoi kitu, kumbe ana actiwa kupendwa sababu anahonga sana, bila hivyo asinge ona hata kufuli kuacha tu kuivua ha ha ha

Usijidanganye wala kujipotezea muda na pesa zako kuhonga kutafuta penzi la dhati utajuta bure, utaishia kuchunwa zikiisha tu unaachwa anatafutwa mwingine
 
Upo sahihi kiasi fulani!! Lakini round hii bila kutoa pesa aisee unaachwa... Wanawake wa ivyo wapo wachache sana na hawapatikani! Na mimi nasema wanaume wenzangu tutafute pesa aisee maana huwezi kupedwa kwa dhati kama huna pesa.... Akitokea mwenye pesa umeachwa!! Na nyie kina dada mpunguze kutubamiza maana leo ukikutana na mwanamke na shida huwa zinaanza hapo hapo mara luku imeisha, mara gesi imeisha na hii sentesi ya nikwambie kitu my ni nna ichukia kinoma nakuigopa nikiiona tu nikwambie kitu nafuta na namba
 
Mfano mapenziii ni kiatu cheusii pesaa ni kiwiii so inahitajikaa kiwiii iliii kiatu kingaee haimaanishiii bilaaa kiwiii kiatu hakitakuwaa cheusii ilaaa kitachoka harakaaa tafutaaa pesa mapenziii yatakutafutaaa
 
maisha yanabadilika sana mkuu, hayo uloyaandika yaliwezekana zamani kwa mabinti wa zilipendwa coz hakukua na mambo ya kwenda saloon, mapafyum, sim na nk...

kwa sasa ili upendo ufae lazima uweze kumgharimia mdada pesa ya kusuka, shopping na mahitaji yote
 
nashukuru Mungu sihongwi na wala sipendi kuhongwa
Nyie ndo independent women...YOU CAN DO everything yourself... Huhitaji mwanaume wakukupa vijisent vyake.unavyo vyakwako.

Ila be careful usije Wewe ukawa ndo mhongaji.
 
Upo sahihi kiasi fulani!! Lakini round hii bila kutoa pesa aisee unaachwa... Wanawake wa ivyo wapo wachache sana na hawapatikani! Na mimi nasema wanaume wenzangu tutafute pesa aisee maana huwezi kupedwa kwa dhati kama huna pesa.... Akitokea mwenye pesa umeachwa!! Na nyie kina dada mpunguze kutubamiza maana leo ukikutana na mwanamke na shida huwa zinaanza hapo hapo mara luku imeisha, mara gesi imeisha na hii sentesi ya nikwambie kitu my ni nna ichukia kinoma nakuigopa nikiiona tu nikwambie kitu nafuta na namba

Usiichukie hiyo sentensi...wee chakifanya ni kumwambia hela ipo njoo tuburudike
 
My Mambo..........
Poa!
My nnashida.........
Unashida? Na nin!
Na Hera..............
Shingapi!?
Elfu hamsini......
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Usiichukie hiyo sentensi...wee chakifanya ni kumwambia hela ipo njoo tuburudike
Ujue sio kwamba wanaume wa siku izi hatutoi pesa kama wanavyodai dada zetu!! Tatizo ni namna wanavyoomba nikwambie kitu my sasa ndo nini iyo aisee? Mwanaume ukiwa mkweli atatoa pesa tu hakuna cha nikwambie kitu my.... Nyoosha maelezo na izi style za niazime nitakurudishia ndo zinawapotezea point!
 
Ah wee hawarudishagi hawa...sijui wanataka uwaombe papuchi hahahaha
 
Ah wee hawarudishagi hawa...sijui wanataka uwaombe papuchi hahahaha
[emoji3][emoji3][emoji3] me nikiamua kutoa najua hairudi ila ni style zakishamba sana... Mama zetu hata wao walikuwa wanaomba pesa ila walikuwa na good timing... Na wanajua namna yakuongea na mwanaume!!! Sio kila kitu my nikwambie kitu
 
My Mambo..........
Poa!
My nnashida.........
Unashida? Na nin!
Na Hera..............
Shingapi!?
Elfu hamsini......
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji3516]
-BLOCK,
-DELETE THE NUMBER,
-SWITCH OFF THE PHONE (to avoid being consulted through another phone).
 
Ujue sio kwamba wanaume wa siku izi hatutoi pesa kama wanavyodai dada zetu!! Tatizo ni namna wanavyoomba nikwambie kitu my sasa ndo nini iyo aisee? Mwanaume ukiwa mkweli atatoa pesa tu hakuna cha nikwambie kitu my.... Nyoosha maelezo na izi style za niazime nitakurudishia ndo zinawapotezea point!
[emoji3516]
"Seneta Wa Mtwiz, niazime Elfu 50, nitakurudishia Jumamosi my ...".

NATUMA BUKU MBILI,
IKIAMBATANA NA UJUMBE
[emoji116]
"Hiyo nimekutumia tu mtoto mzuri, wala usiirejeshe!!! Tuko pamoja sana!"
 
Back
Top Bottom