Ukweli Unaouma. Kuhonga sio ticket ya kupendwa, wanaume acheni kujipa moyo

Ukweli Unaouma. Kuhonga sio ticket ya kupendwa, wanaume acheni kujipa moyo

Nyie ndo independent women...YOU CAN DO everything yourself... Huhitaji mwanaume wakukupa vijisent vyake.unavyo vyakwako.

Ila be careful usije Wewe ukawa ndo mhongaji.
sihongi na nachukia hongo
 
Kuhongo ni shortcut ya kufikia mti wa ahadi
 
Mh....Kwaiyo hata kuhudumiwa na mumeo pia utachukia...Siku akisema chukua hela hii mke wangu kanunue kijora...utakataa na kusema ni hongo..
.
great..... kuhudumiwa sawa kabisa na napenda ila hongo hapana
 
Kuna jamaa hapa akiombwa hela na demu wake na kwa muda huo akawa Hana ananuniwa ile mbayaa,,akishaipata ile hela akampa ndo mapenz Yana Rudi,alafu mchiz ukimkuta anavojisifia kuwa anapendwa unabakia kucheka tu😀
 
naitofautisha vizuri tu Hongo ni RUSHWA
sijawahi kupewa, kutoa wala kuomba rushwa ili nimpende mtu
[emoji849][emoji849][emoji849]...kwaiyo unafikiria mwanaume akikutongoza anakwambia chukua hii rushwa ya laki unipende... Wewe nawe mwanamke wawapi?

Kumpenda unampenda au mnapendana.. siku akikununulia zawadi utasema Ni Rushwa?....
Unamtizamo wakitofauti kabisa..
 
tofautisha kuhongwa na kuhudumiwa rudi kaangalie maana ya neno hongo then compare na kuhudumiwa alafu angalia heading ya mtoa mada ikoje ndo uje uniulize tena
 
Back
Top Bottom