Ukweli unaouma kuhusu wewe

Ukweli unaouma kuhusu wewe

Kwa umri uliofika.

1. Kama una miaka 30s Kuwa bilionea sahau/Waza mambo mengine.

2. Kama una 30s na hauko na hujawai kuingia kwene siasa bas we huwezi kuwa Rais hadi unakufa.

[emoji23]Jifunze kukubali itakusaidia kuboresha afya yako ya akili.
Hujui chochote kuhusu maisha

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Rihana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]kwaiyo rihana ameanza kuimba akiwa na 30??
Kama unalijua hili basi fahamu pia kwamba hakuna mwenye miaka 30 anayeishi na kulelewa na wazazi wake kila mtu yupo kwenye harakati zake kwahiyo kuna siku unagusa tu mahali na mambo yanajipa maisha yanabadilika kabisa
Na watu wengi hasa Tanzania hawafiki mbali kwa sababu wanaridhika na maisha yao hawana malengo makubwa
Mtu akisha kuna na uhakika wa 5mil kwa mwezi ameshayapatia maisha na ameridhika ana nyumba Kigari watoto wanasoma academy kilichobaki ni pombe michepuko usimba na Uyanga

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Usichokijua ni kwamba ulichokusanya wewe kwa miaka zaidi ya ishirini kuna mtu ana uwezo wa kukipata ndani ya mwezi mmoja....! Mambo huwa yanabadilika kwa haraka sana. Hutakiwi kukariri maisha, kila mtu ana njia yake atakayopita tofauti na mwingine
 
Niandikie bilion moja hapa ( universal standard)
 
Back
Top Bottom