Hujui chochote kuhusu maishaKwa umri uliofika.
1. Kama una miaka 30s Kuwa bilionea sahau/Waza mambo mengine.
2. Kama una 30s na hauko na hujawai kuingia kwene siasa bas we huwezi kuwa Rais hadi unakufa.
[emoji23]Jifunze kukubali itakusaidia kuboresha afya yako ya akili.
Hao masikini wanaotafuta kwa mgongo wa wengine?Huwa unasikiliza motivational speaker
Kama unalijua hili basi fahamu pia kwamba hakuna mwenye miaka 30 anayeishi na kulelewa na wazazi wake kila mtu yupo kwenye harakati zake kwahiyo kuna siku unagusa tu mahali na mambo yanajipa maisha yanabadilika kabisaRihana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]kwaiyo rihana ameanza kuimba akiwa na 30??
Mimi ni raisi wa Tanzania baada ya miaka 20Tukupe miaka mingap uwe billionear??
sawa ww unaejua tuambie
Sawa !!….komaaaMimi ni raisi wa Tanzania baada ya miaka 20
Japo leo sina umaarufu hata mtaani kwangu tu
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Niandikie bilion moja hapa ( universal standard)Usichokijua ni kwamba ulichokusanya wewe kwa miaka zaidi ya ishirini kuna mtu ana uwezo wa kukipata ndani ya mwezi mmoja....! Mambo huwa yanabadilika kwa haraka sana. Hutakiwi kukariri maisha, kila mtu ana njia yake atakayopita tofauti na mwingine
Asili ya RiRi ni Barbados ametokea familia ya kawaida sana. She is a self made billionaireKama Mo dewji mwenyewe alikiri utajiri wake alirithi ye akaukuza