Ukweli unaouma (uhalisia wa kitaa)

Mfilisiti

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2020
Posts
396
Reaction score
1,958
Wakuu poleni na majukumu, moja kwa moja kwenye mada kama inavyojieleza hapo juu huu ndio uhalisia wa kitaa
1: Umekaa zako kwa raha mstarehe, ghafla unakumbuka umri wako🙄
2: Kaka unawaza kumuoa?Mwenzako bado anahesabu viewers za Whatsapp+screenshot za waliom-wish birthday yake.
3: Ewe mwanadamu Punguza kiburi watu wanaweza kuishi bila wewe na maisha yaka nyooka tu.

4: Wakati ambao Dunia haikuelewi hakikisha unajielewa mwenyewe

5: Maisha yanachangamoto zake Mwenye ghetto hana demu,
Mwenye demu hana ghetto,
Na mwenye vyote hana nguvu za kiume😀 that's life.

6: Dada Uchi sio kitu cha kumnyima mwenzio (wewe mpe tu narudia tena mpe tu)

7: Usiongeze SMS juu ya SMS isiyojibiwa(jifunze kubalance Nyege)

8: Ewe mwanaume acha kupambana kutaka kumridhisha mwanamke, hata kama umemnyandua kwa dakika mbili tu kikubwa ashanyanduliwa

9: Amka asubuhi na mapema upangilie shida zako ujue unaanza teseka na Ipi🤔

10: Kaka siku hizi washajijua Wana makomwe wanavaa sketi fupi fupi ili tupoteze focus na concentration

11: Kitendo cha mtu mzima mwenzako kukuangalia na kuona unasitahili shikamoo Huwa kinaumiza sana🙄

12: Kijana mwenzangu Itakugharimu pesa nyingi sana kujifanya una pesa.

Mambo ni mengi muda ni mchache nukta.
 
Bold namba 6 kutilia mkazo
 
1&11 it shows hupendi ukubwa🙄 ila 5 umefunga Uzi 🤣🤣🤣🙌
 
Kuna mtu atakuja na kusema namba 6 haoimbwi hivo [emoji2369]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…