MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Kweli wewe Mfilisti....[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hio no 5 kamsahau ambaye hana vyote, hana nguvu za kiume, hana geto, hana demu alaf bado madem wanamshobokea wenyewe tu1&11 it shows hupendi ukubwa🙄 ila 5 umefunga Uzi 🤣🤣🤣🙌
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukweli uliowekwa kwenye kichekoWakuu poleni na majukumu,moja ka moja kwenye mada kama inavyojieleza hapo juu huu ndio uhalisia wa kitaa
1: Umekaa zako kwa raha mstarehe,ghafla unakumbuka umri wako[emoji849]
2: Kaka unawaza kumuoa????Mwenzako bado anahesabu viewers za Whatsapp+screenshot za waliom-wish birthday yake.
3: Ewe mwanadamu Punguza kiburi watu wanaweza kuishi bila wewe na maisha yaka nyooka tu.
4: Wakati ambao Dunia haikuelewi hakikisha unajielewa mwenyewe
5: Maisha yanachangamoto zake
Mwenye ghetto hana demu,
Mwenye demu hana ghetto,
Na mwenye vyote hana nguvu za kiume[emoji3] that's life.
6: Dada Uchi sio kitu cha kumnyima mwenzio (wewe mpe tu narudia tena mpe tu)
7: Usiongeze SMS juu ya SMS isiyojibiwa(jifunze kubalance Nyege)
8:Ewe mwanaume acha kupambana kutaka kumridhisha mwanamke,hata kama umemnyandua kwa dakika mbili tu kikubwa ashanyanduliwa
9:Amka asubuhi na mapema upangilie shida zako ujue unaanza teseka na Ipi[emoji848]
10: Kaka siku hizi washajijua Wana makomwe wanavaa sketi fupi fupi ili tupoteze focus na concentration
11: Kitendo cha mtu mzima mwenzako kukuangalia na kuona unasitahili shikamoo Huwa kinaumiza sana[emoji849]
12:Kijana mwenzangu Itakugharimu pesa nyingi sana kujifanya una pesa.
Mambo ni mengi muda ni mchache nukta.
Tafuta hela mkuu achana na watu. Motivesheni Ina mchango mdogo San kubadilisha tabia za watuWakuu poleni na majukumu,moja ka moja kwenye mada kama inavyojieleza hapo juu huu ndio uhalisia wa kitaa
1: Umekaa zako kwa raha mstarehe,ghafla unakumbuka umri wako[emoji849]
2: Kaka unawaza kumuoa????Mwenzako bado anahesabu viewers za Whatsapp+screenshot za waliom-wish birthday yake.
3: Ewe mwanadamu Punguza kiburi watu wanaweza kuishi bila wewe na maisha yaka nyooka tu.
4: Wakati ambao Dunia haikuelewi hakikisha unajielewa mwenyewe
5: Maisha yanachangamoto zake
Mwenye ghetto hana demu,
Mwenye demu hana ghetto,
Na mwenye vyote hana nguvu za kiume[emoji3] that's life.
6: Dada Uchi sio kitu cha kumnyima mwenzio (wewe mpe tu narudia tena mpe tu)
7: Usiongeze SMS juu ya SMS isiyojibiwa(jifunze kubalance Nyege)
8:Ewe mwanaume acha kupambana kutaka kumridhisha mwanamke,hata kama umemnyandua kwa dakika mbili tu kikubwa ashanyanduliwa
9:Amka asubuhi na mapema upangilie shida zako ujue unaanza teseka na Ipi[emoji848]
10: Kaka siku hizi washajijua Wana makomwe wanavaa sketi fupi fupi ili tupoteze focus na concentration
11: Kitendo cha mtu mzima mwenzako kukuangalia na kuona unasitahili shikamoo Huwa kinaumiza sana[emoji849]
12:Kijana mwenzangu Itakugharimu pesa nyingi sana kujifanya una pesa.
Mambo ni mengi muda ni mchache nukta.
Utakuwa wewe😳🙄hio no 5 kamsahau ambaye hana vyote, hana nguvu za kiume, hana geto, hana demu alaf bado madem wanamshobokea wenyewe tu
KomweAisee
Wakuu poleni na majukumu,moja ka moja kwenye mada kama inavyojieleza hapo juu huu ndio uhalisia wa kitaa
1: Umekaa zako kwa raha mstarehe,ghafla unakumbuka umri wako🙄
2: Kaka unawaza kumuoa????Mwenzako bado anahesabu viewers za Whatsapp+screenshot za waliom-wish birthday yake.
3: Ewe mwanadamu Punguza kiburi watu wanaweza kuishi bila wewe na maisha yaka nyooka tu.
4: Wakati ambao Dunia haikuelewi hakikisha unajielewa mwenyewe
5: Maisha yanachangamoto zake
Mwenye ghetto hana demu,
Mwenye demu hana ghetto,
Na mwenye vyote hana nguvu za kiume😀 that's life.
6: Dada Uchi sio kitu cha kumnyima mwenzio (wewe mpe tu narudia tena mpe tu)
7: Usiongeze SMS juu ya SMS isiyojibiwa(jifunze kubalance Nyege)
8:Ewe mwanaume acha kupambana kutaka kumridhisha mwanamke,hata kama umemnyandua kwa dakika mbili tu kikubwa ashanyanduliwa
9:Amka asubuhi na mapema upangilie shida zako ujue unaanza teseka na Ipi🤔
10: Kaka siku hizi washajijua Wana makomwe wanavaa sketi fupi fupi ili tupoteze focus na concentration
11: Kitendo cha mtu mzima mwenzako kukuangalia na kuona unasitahili shikamoo Huwa kinaumiza sana🙄
12:Kijana mwenzangu Itakugharimu pesa nyingi sana kujifanya una pesa.
Mambo ni mengi muda ni mchache nukta.
umejuaje!!?🤣🤣🤣🤣😂Utakuwa wewe😳🙄