Ukweli unauma ndiyo, ila unaponya

Carleen

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2018
Posts
7,982
Reaction score
27,272
Hi guys,

Nipo tu hapa najiuliza ni kwanini asilimia kubwa ya wengi wetu hatupendi kuambiwa ukweli?? Ukitaka ugombane na mtu sahii njia rahisi ni 'pesa' na 'kumchana'

Yaani kumuambia mtu ukweli kuna uhusiano gani na chuki? Maana the moment umemchana tu mtu kuwa amezingua kwenye issue flani, right on the spot zinaanza chuki za ghafla, ama ni chuki huwa zinakuwa zipo tu pahala loaded zinasubiri ukweli u-pull the trigger? Ama ni mechanism gani huwa inatumika nisaidieni tafadhali,

Tunapenda kuishi kwa kusifiwa, yaani tusifiwe tu hata kama tunakosea, tupakwe mafuta kwa mgongo wa chupa hata kama mafuta hayo hayaifikii ngozi na tuambiwe mwili wako umetota mafuta, na tufurahi, like seriously? Tufike pahala tuache tu unafki ili tuende mbinguni! Yaani wewe kama ni mwanangu na unazingua mie nakuchana tu ukinichukia ukauchuna sawa, tutaonana paradiso.

they say truth hurts, but at the same time heals.!

Guys, kuweni tu real japo inahitaji sacrifice ya hali ya juu, enwei, it ain't anything personal wala.!
 
baada ya salamu ngoja nijibu uzi wako.
unajua wakati mwingine sio kwamba ukweli unauma ila njia ya uwasilishaji wa ukweli ndio inauma .kwa mfano hapo juu umetumia neno “kuchana” mimi binafsi mtu akinichana au kunipa makavu naumia ila akinipa ukweli siumii tena in fact mimi napenda kuambiwa ukweli.
hivo basi ukweli hauumi ila njia na mood anayokuwa nayo mleta ukweli pamoja na mazingira husika ndio vinaumiza
 
Hebu nichane hayo maukweli nione Kama nitaumia na kukuchukia..😜

Sasa mwengine unakuta mtu anamwendo kama wa Bata ukimwambia anakasirika! Ila ukimwambia pia anamwendo mzuri anakuchekea!! Hao mi Ndio huwa nawaita vilamba mwiko.
 
Haha..!
Nimekuelewa vizuri Shem, ila kwa sisi chuganian, kusema 'kuchana' haimaanishi tunatumia lugha kali hapana.! tunaweza tukatumia lugha tamu kama imepakwa asali ila ukweli tumeshakuambia..!
 
Hebu nichane hayo maukweli nione Kama nitaumia na kukuchukia..😜

Sasa mwengine unakuta mtu anamwendo kama wa Bata ukimwambia anakasirika! Ila ukimwambia pia anamwendo mzuri anakuchekea!! Hao mi Ndio huwa nawaita vilamba mwiko.
😂 😂
Katika watu akili zao nimeshindwa kuzielewa ni wewe mdogo wangu unajua..!
 
😂 😂
Katika watu akili zao nimeshindwa kuzielewa ni wewe mdogo wangu unajua..!
Kwahiyo hapo ndo umenichana ukweli..?
Mbona mi naona bado! Sasa ngoja mi nikuchane makavu live unune uvimbe upasuke shauli yako!.

Kwanza we ni mzuri mpk ukijiangalia kwenye kioo,kioo chenyewe kinakuonea donge sema tu hakina mdomo ila kuna wengine hasa yule rafiki yako ye akijiangalia kinaandika " INVALID DEVICE"
Nikirudi nitaendelea..
 
Kwa mtu ambaye anajiona perfect ukimchana ukwel lazima mgombane ila anayependa kujifunza basi atakushukuru pale unapomwambia ukwel.
 
Baby leo nataka! Tena unipe kabisa mpk nione nyotanyota si unajua tena napenda Mambo ya anga Sasa olewako naleo uzingue ukimbilie chini ya kitanda ntakung'oa meno..😎
Hivi upoje lakn we kijana😂😂 hujui ndo kwanza asbh saivi
 
Hivi upoje lakn we kijana😂😂 hujui ndo kwanza asbh saivi
Asubuhi kitu gani bhana!.. mi nachojua nishatoa taarifa sasa uzingue utajua kwanini Kuna ule usemi usemao mwana kulitaka mwana kulipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…