Ukweli unauma ndiyo, ila unaponya

Ukweli unauma ndiyo, ila unaponya

Haha..!
Nimekuelewa vizuri Shem, ila kwa sisi chuganian, kusema 'kuchana' haimaanishi tunatumia lugha kali hapana.! tunaweza tukatumia lugha tamu kama imepakwa asali ila ukweli tumeshakuambia..!

hahaha shem kumbe wewe mtu wa chuga[emoji16].sawa hapo nimekuelewa
 
Ukiongea ukweli zingatia faragha na ukali wa maneno yaani maneno yasiyo umiza......

Pia jiulize kabla haujamjudge muhusika je una mfahamu vizuri.... Kwa maana ya kumjua kiundani au kuelewa maswahibu gani yaliyomkuta.....

Kimsingi usiwe mwepesi kumwambia mtu kitu ambacho tayari anakijua na yeye pia kimemzidi nguvu kukitatua kama hauna mbinu za kumsaidia kuondokana na tatizo akilonalo.

Lakini mwisho wa yote, usiache kumwambia mtu ukweli....
 
baada ya salamu ngoja nijibu uzi wako.
unajua wakati mwingine sio kwamba ukweli unauma ila njia ya uwasilishaji wa ukweli ndio inauma .kwa mfano hapo juu umetumia neno “kuchana” mimi binafsi mtu akinichana au kunipa makavu naumia ila akinipa ukweli siumii tena in fact mimi napenda kuambiwa ukweli.
hivo basi ukweli hauumi ila njia na mood anayokuwa nayo mleta ukweli pamoja na mazingira husika ndio vinaumiza
No one would have said it even better. Umenyoosha maelezo kwa lugha nzuri sana na nyepesi kuelewa. Umeunganisha ukweli na uelewa vema kabisa...... Safi sana.
 
Mimi sipepesi macho wala simung'unyi maneno, nakuchana live, i give you a piece of my mind, it is either my way or the highway. Imenigharimu heavily.
Hongera, ukweli mchungu ni kuwa utachagua kuwa fake ama u-pay a very high price.!!
 
Kwahiyo hapo ndo umenichana ukweli..?
Mbona mi naona bado! Sasa ngoja mi nikuchane makavu live unune uvimbe upasuke shauli yako!.

Kwanza we ni mzuri mpk ukijiangalia kwenye kioo,kioo chenyewe kinakuonea donge sema tu hakina mdomo ila kuna wengine hasa yule rafiki yako ye akijiangalia kinaandika " INVALID DEVICE"
Nikirudi nitaendelea..
Man..!
Hapo mbona nimekupamba kabisa.! Sijakugusa kabisa.!
Enwei, thanks for the compliments ambazo naamini umezitoa kwa kutazama avatar siyo.?
 
Mwambie ukweli magufuli uone kitakachokupata🤔🤔

Ndio maana maccm yote yanawambia anapendwa sn wkt kiuhakisia hakuna anayemtaka
Haha.!
Bro, nipe namba zake tafadhali, mtu unaweza ukawa famous dunia nzima hivi hivii kiutani utani..!
 
Kwa mtu ambaye anajiona perfect ukimchana ukwel lazima mgombane ila anayependa kujifunza basi atakushukuru pale unapomwambia ukwel.
Na hakuna kitu ngumu kama ku deal na perfectionist maana huwa hawakosei..!
 
Ukiongea ukweli zingatia faragha na ukali wa maneno yaani maneno yasiyo umiza......

Pia jiulize kabla haujamjudge muhusika je una mfahamu vizuri.... Kwa maana ya kumjua kiundani au kuelewa maswahibu gani yaliyomkuta.....

Kimsingi usiwe mwepesi kumwambia mtu kitu ambacho tayari anakijua na yeye pia kimemzidi nguvu kukitatua kama hauna mbinu za kumsaidia kuondokana na tatizo akilonalo.

Lakini mwisho wa yote, usiache kumwambia mtu ukweli....
You have your point there,
Busara ndiyo, ni muhimu na zinahitajika, sababu humuambii kwa kumkomoa hell no, unamsaidia abadilike.!
 
Haha..!
Nimecheka kwa sauti, yaani umeijibu in a very serious way kidogo niamini.! Mbona Lenie hajanipea hizi habari njema?

[emoji1787]sijui kwanini napenda utani wa hivo,ila kuna jamaa ni noma hua ananitania ananiita baba mkwe,huwa tunaishi nae sasa tunaweza kukutana coridoni ananipisha nipite eti anasema sio adabu kupishana na baba mkwe.
Lenie. sasa hivi mimba inamsumbua hadi mimi ananitenga
 
Man..!
Hapo mbona nimekupamba kabisa.! Sijakugusa kabisa.!
Enwei, thanks for the compliments ambazo naamini umezitoa kwa kutazama avatar siyo.?
Kwani vipi mbona wajishuku au wewe ndo tuseme invalid device..?! 😂
Can't believe it..
 
Back
Top Bottom