KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Mi nataka unichane makavu live..😅Kwa mtu ambaye anajiona perfect ukimchana ukwel lazima mgombane ila anayependa kujifunza basi atakushukuru pale unapomwambia ukwel.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nataka unichane makavu live..😅Kwa mtu ambaye anajiona perfect ukimchana ukwel lazima mgombane ila anayependa kujifunza basi atakushukuru pale unapomwambia ukwel.
Salama Shem..!
Mdogo wangu Lenie hajambo.?
Haha..!
Nimekuelewa vizuri Shem, ila kwa sisi chuganian, kusema 'kuchana' haimaanishi tunatumia lugha kali hapana.! tunaweza tukatumia lugha tamu kama imepakwa asali ila ukweli tumeshakuambia..!
No one would have said it even better. Umenyoosha maelezo kwa lugha nzuri sana na nyepesi kuelewa. Umeunganisha ukweli na uelewa vema kabisa...... Safi sana.baada ya salamu ngoja nijibu uzi wako.
unajua wakati mwingine sio kwamba ukweli unauma ila njia ya uwasilishaji wa ukweli ndio inauma .kwa mfano hapo juu umetumia neno “kuchana” mimi binafsi mtu akinichana au kunipa makavu naumia ila akinipa ukweli siumii tena in fact mimi napenda kuambiwa ukweli.
hivo basi ukweli hauumi ila njia na mood anayokuwa nayo mleta ukweli pamoja na mazingira husika ndio vinaumiza
No one would have said it even better. Umenyoosha maelezo kwa lugha nzuri sana na nyepesi kuelewa. Umeunganisha ukweli na uelewa vema kabisa...... Safi sana.
Nisubiri hapo hapoAsubuhi kitu gani bhana!.. mi nachojua nishatoa taarifa sasa uzingue utajua kwanini Kuna ule usemi usemao mwana kulitaka mwana kulipata.
Hongera, ukweli mchungu ni kuwa utachagua kuwa fake ama u-pay a very high price.!!Mimi sipepesi macho wala simung'unyi maneno, nakuchana live, i give you a piece of my mind, it is either my way or the highway. Imenigharimu heavily.
Man..!Kwahiyo hapo ndo umenichana ukweli..?
Mbona mi naona bado! Sasa ngoja mi nikuchane makavu live unune uvimbe upasuke shauli yako!.
Kwanza we ni mzuri mpk ukijiangalia kwenye kioo,kioo chenyewe kinakuonea donge sema tu hakina mdomo ila kuna wengine hasa yule rafiki yako ye akijiangalia kinaandika " INVALID DEVICE"
Nikirudi nitaendelea..
Mi nataka nikuchane, uko tayari?We mtu akizingua mchane akimind atajua mwenyewe
You have your point there,Ukiongea ukweli zingatia faragha na ukali wa maneno yaani maneno yasiyo umiza......
Pia jiulize kabla haujamjudge muhusika je una mfahamu vizuri.... Kwa maana ya kumjua kiundani au kuelewa maswahibu gani yaliyomkuta.....
Kimsingi usiwe mwepesi kumwambia mtu kitu ambacho tayari anakijua na yeye pia kimemzidi nguvu kukitatua kama hauna mbinu za kumsaidia kuondokana na tatizo akilonalo.
Lakini mwisho wa yote, usiache kumwambia mtu ukweli....
Haha..!
Nimecheka kwa sauti, yaani umeijibu in a very serious way kidogo niamini.! Mbona Lenie hajanipea hizi habari njema?
Kwani vipi mbona wajishuku au wewe ndo tuseme invalid device..?! 😂Man..!
Hapo mbona nimekupamba kabisa.! Sijakugusa kabisa.!
Enwei, thanks for the compliments ambazo naamini umezitoa kwa kutazama avatar siyo.?
Ni ngumu mno hao watu, la muhimu ni kumsoma kama anapenda kusifiwa basi we msifie kwa kila kitu ili mambo yaende sawa😀Na hakuna kitu ngumu kama ku deal na perfectionist maana huwa hawakosei..!