Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
Hi guys,
Nipo tu hapa najiuliza ni kwanini asilimia kubwa ya wengi wetu hatupendi kuambiwa ukweli?? Ukitaka ugombane na mtu sahii njia rahisi ni 'pesa' na 'kumchana'
Yaani kumuambia mtu ukweli kuna uhusiano gani na chuki? Maana the moment umemchana tu mtu kuwa amezingua kwenye issue flani, right on the spot zinaanza chuki za ghafla, ama ni chuki huwa zinakuwa zipo tu pahala loaded zinasubiri ukweli u-pull the trigger? Ama ni mechanism gani huwa inatumika nisaidieni tafadhali,
Tunapenda kuishi kwa kusifiwa, yaani tusifiwe tu hata kama tunakosea, tupakwe mafuta kwa mgongo wa chupa hata kama mafuta hayo hayaifikii ngozi na tuambiwe mwili wako umetota mafuta, na tufurahi, like seriously? Tufike pahala tuache tu unafki ili tuende mbinguni! Yaani wewe kama ni mwanangu na unazingua mie nakuchana tu ukinichukia ukauchuna sawa, tutaonana paradiso.
they say truth hurts, but at the same time heals.!
Guys, kuweni tu real japo inahitaji sacrifice ya hali ya juu, enwei, it ain't anything personal wala.!