Ukweli unauma ndiyo, ila unaponya

Hahahaa ila wewee
 
Ilo ni tatizo kubwa sana uku kwetu nchi nyeusi.Kuanzia kwenye mapenzi hadi kwenye shughuli zakiserikali.Hatupendi kabisa kuambiwa ukweli na hatupendi pia kuomba samahani pale tunapokosea.Kama ambavyo hatupendi kujali muda na kupenda usafi ndivyo ambavyo hatupendi pia hayo mengine.
 
Ukimchana mtu, be careful to choose the right words. Wengi wala hawakasirishwi na ukweli ( japo unaumiza), ilΓ  lugha inayotumika "kumchana" mtu.

Niambie ukweli lakini, chonde chonde usiongee tukiwa zaidi ya mimi na wewe, 'usinifokee', usitumie lugha za kukera na hakikisha unasimamia facts.
 
Mwakyembe aliwachana wajumbe kwamba yeye ana degree nne, mtu wa darasa la saba hawezi mwambia kitu, wajumbe wala-mind !
 
Sijui nikuchane wa nyumbani..πŸ€”πŸ€” ila ukinuna shauri yako😜
 
......Yaani wewe kama ni mwanangu na unazingua mie nakuchana tu ukinichukia ukauchuna sawa, tutaonana paradiso.....
Nikiwakuta hiyo paradiso either of u two, bas hapo sikai.patakua mahala pengine hapo.😁😁😁
 
hakuna kitu nafurahia ka kuchanwa live bt hamna kitu nachukia ka kufichwa nilipokosea then nikanuniwa kishkaji.
 
Yaani wewe kama ni mwanangu na unazingua mie nakuchana tu ukinichukia ukauchuna sawa, tutaonana paradiso.

Nimependa mstari huu
Namna hiyo. Mimi rafiki zangu wananiijua kifua sina. Ukizingua nakupa hapo hapo sicheleweshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…