Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Hahahaa ila wewee[emoji1787]sijui kwanini napenda utani wa hivo,ila kuna jamaa ni noma hua ananitania ananiita baba mkwe,huwa tunaishi nae sasa tunaweza kukutana coridoni ananipisha nipite eti anasema sio adabu kupishana na baba mkwe.
Lenie. sasa hivi mimba inamsumbua hadi mimi ananitenga