Unahisi tatizo ni nini.!? Ni bado hatujastaarabika ama.!!?Ilo ni tatizo kubwa sana uku kwetu nchi nyeusi.Kuanzia kwenye mapenzi hadi kwenye shughuli zakiserikali.Hatupendi kabisa kuambiwa ukweli na hatupendi pia kuomba samahani pale tunapokosea.Kama ambavyo hatupendi kujali muda na kupenda usafi ndivyo ambavyo hatupendi pia hayo mengine.
Umenena vyema bro Elli na umeeleweka vyema, na hilo natumaini huzingatiwa zaidi na utashi wa muhusika 'mchanaji'..!Ukimchana mtu, be careful to choose the right words. Wengi wala hawakasirishwi na ukweli ( japo unaumiza), ilΓ lugha inayotumika "kumchana" mtu.
Niambie ukweli lakini, chonde chonde usiongee tukiwa zaidi ya mimi na wewe, 'usinifokee', usitumie lugha za kukera na hakikisha unasimamia facts.
Haha..!Nikiwakuta hiyo paradiso either of u two, bas hapo sikai.patakua mahala pengine hapo.πππ
Inakera mtu kakununia halafu sababu huijui, na hii tabia naona wanaume wa sasa ndiyo wamei develop sana, kununa ovyo, hivi mnakwama wapi wanaume wetu wa sasa.?hakuna kitu nafurahia ka kuchanwa live bt hamna kitu nachukia ka kufichwa nilipokosea then nikanuniwa kishkaji.
Wanawageza nyie.Inakera mtu kakununia halafu sababu huijui, na hii tabia naona wanaume wa sasa ndiyo wamei develop sana, kununa ovyo, hivi mnakwama wapi wanaume wetu wa sasa.?
IlΓ wewe hata ukinichana poa tu Carleen[emoji39][emoji39]Umenena vyema bro Elli na umeeleweka vyema, na hilo natumaini huzingatiwa zaidi na utashi wa muhusika 'mchanaji'..!
mie tabia hiyo sina labda wajuzi waje kutufahamisha zaidi.Inakera mtu kakununia halafu sababu huijui, na hii tabia naona wanaume wa sasa ndiyo wamei develop sana, kununa ovyo, hivi mnakwama wapi wanaume wetu wa sasa.?
Nilie ongea hayo ni 2nd born. Maana 1st born si unamjua?Acha tuoneHaha..!
Sasa hutaamini siku utakayonikuta mkono wa kiume wa Baba, wewe nitazame hivi hivi kwa wasiwasi wakati mwenzio mie ni last born wa Bwana.!!