Ukweli unauma ndiyo, ila unaponya

Ukweli unauma ndiyo, ila unaponya

Yaani wewe kama ni mwanangu na unazingua mie nakuchana tu ukinichukia ukauchuna sawa, tutaonana paradiso.

Nimependa mstari huu
😂 😂
Hivi una hakika huna chembe chembe za Arusha kwenye damu yako.??
 
Ilo ni tatizo kubwa sana uku kwetu nchi nyeusi.Kuanzia kwenye mapenzi hadi kwenye shughuli zakiserikali.Hatupendi kabisa kuambiwa ukweli na hatupendi pia kuomba samahani pale tunapokosea.Kama ambavyo hatupendi kujali muda na kupenda usafi ndivyo ambavyo hatupendi pia hayo mengine.
Unahisi tatizo ni nini.!? Ni bado hatujastaarabika ama.!!?
 
Ukimchana mtu, be careful to choose the right words. Wengi wala hawakasirishwi na ukweli ( japo unaumiza), ilà lugha inayotumika "kumchana" mtu.

Niambie ukweli lakini, chonde chonde usiongee tukiwa zaidi ya mimi na wewe, 'usinifokee', usitumie lugha za kukera na hakikisha unasimamia facts.
Umenena vyema bro Elli na umeeleweka vyema, na hilo natumaini huzingatiwa zaidi na utashi wa muhusika 'mchanaji'..!
 
Sijui nikuchane wa nyumbani..🤔🤔 ila ukinuna shauri yako😜
Haha..
Hebu nichane wa nyumbani tafadhali, isije kuwa nazingua halafu taarifa sina.!
 
Nikiwakuta hiyo paradiso either of u two, bas hapo sikai.patakua mahala pengine hapo.😁😁😁
Haha..!
Sasa hutaamini siku utakayonikuta mkono wa kiume wa Baba, wewe nitazame hivi hivi kwa wasiwasi wakati mwenzio mie ni last born wa Bwana.!!
 
hakuna kitu nafurahia ka kuchanwa live bt hamna kitu nachukia ka kufichwa nilipokosea then nikanuniwa kishkaji.
Inakera mtu kakununia halafu sababu huijui, na hii tabia naona wanaume wa sasa ndiyo wamei develop sana, kununa ovyo, hivi mnakwama wapi wanaume wetu wa sasa.?
 
Umenena vyema bro Elli na umeeleweka vyema, na hilo natumaini huzingatiwa zaidi na utashi wa muhusika 'mchanaji'..!
Ilà wewe hata ukinichana poa tu Carleen[emoji39][emoji39]
 
Inakera mtu kakununia halafu sababu huijui, na hii tabia naona wanaume wa sasa ndiyo wamei develop sana, kununa ovyo, hivi mnakwama wapi wanaume wetu wa sasa.?
mie tabia hiyo sina labda wajuzi waje kutufahamisha zaidi.
 
Embu nichane ukweli nione kama nitachukia. Fanya kama unatest
 
Mie ukweli hauniumagi, il-mradi unichane kwa staha na kwa kuzingatia muktadha.
 
Haha..!
Sasa hutaamini siku utakayonikuta mkono wa kiume wa Baba, wewe nitazame hivi hivi kwa wasiwasi wakati mwenzio mie ni last born wa Bwana.!!
Nilie ongea hayo ni 2nd born. Maana 1st born si unamjua?Acha tuone
 
Back
Top Bottom