Ukweli unauma ndiyo, ila unaponya

Unahisi tatizo ni nini.!? Ni bado hatujastaarabika ama.!!?
Nadhani hiyo inaweza kua sababu kubwa.Ndo maana ukimkuta mtu aliyestaarabika anakua na mawazo huru zaidi kuliko yule ambaye bado.Ndo maana utaona kwa mfano mtu kusema samahani pale anapokosea mara nyingi inatolewa na mtu aliyestaarabika.
 
absolutely..!!
Umenena vyema sana...
 
Ukiwa mnunaji Sana bwana Wako atakugeza tu nAye ataanza kununa.
Au umeupata mwanaume aliyedekezwa kwao
Haha, nimekuelewa sasa..!
Na sipendi mwanaume anayenuna nuna ovyo jamani.
 
Nilie ongea hayo ni 2nd born. Maana 1st born si unamjua?Acha tuone
Vile nilivyopewa sifa zako na vituko vyako ninavyoshuhudia hapa, anajua Mungu pekee kile ninawaza.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…